Inakuwaje hapo?

Inakuwaje hapo?

Peribus

Senior Member
Joined
Nov 28, 2021
Posts
101
Reaction score
177
Mimi ni mwanafunzi wa chuo X, natarajia kuingia mwaka wa pili karibuni, mwaka wa kwanza nilipewa mkopo wa ada kama 400,500, ile allocation ilikuwa inaonesha ni mwaka m1 wa masomo

Je, kuna uwezekano wakaendelea kunilipia kiasi kilekile bila kunitumia status yoyote kwenye account ya SIPA?

Na je ikiwa sitapata taarifa zozote za mkopo naweza kwenda chuo na nikafanya usajili pa1 na bumu langu kama ilivyokuwa mwaka wa kwanza?
 
Ndio mwaka wa pili wanatoa mpya ila inapungua asilimia fulani kidogo ..maana miaka inatofautiana kwa mahitaji Kuna watu wanapata pesa za field mwaka wa pili wengine wa kwanza hata mara 2..
 
Back
Top Bottom