A
Anonymous
Guest
Inakuwaje Idara ya Uhamiaji haichukui hatua za kutosha katika suala hili? Ninauliza kwa sababu mahali ninapofanya kazi kuna raia wengi wa China, lakini kila mara maafisa wa uhamiaji wanapokuja kufanya ukaguzi, wao huondoka mapema kana kwamba wanapata taarifa kabla.
Pia, inakuwaje baadhi yao wanaruhusiwa kufanya kazi kwa kibali cha utalii (tourist permit) badala ya kibali cha kazi (work permit)? Hali hii inalinyima taifa mapato na kuzua maswali kuhusu usimamizi wa sheria za uhamiaji. Je, tatizo hili litapatiwa lini ufumbuzi?