A
Rushwa na bi mkubwa alishasema wale kwa urefu wa kamba zaoWageni unaowaona wanafanya kazi bila vibali vya kazi ni miradi ya maboss wa uhamiaji.....vibaraka wao wanakwenda kuchukua posho kutoka kwao......
Nchi imeoza hii imebakia kutoa funza tu
Watanzania wenzangu. Kulalamika hakutoshi na wala hakutasaidia chochote. Chukuweni hatua kwa umoja wenu. CCM imeoza, imebakia kikundi cha wahuni wanaokula raha bila kujali nchi inaelekea wapi. Nchimbi keshawaambia. Badala ya kulalamikia mambo madogo madogo, piganieni katiba nzuri ya wananchi. Katiba itasaidia kupata viongozi wenye kuwajibika na kujali wananchi.Inakuwaje Idara ya Uhamiaji haichukui hatua za kutosha katika suala hili? Ninauliza kwa sababu mahali ninapofanya kazi kuna raia wengi wa China, lakini kila mara maafisa wa uhamiaji wanapokuja kufanya ukaguzi, wao huondoka mapema kana kwamba wanapata taarifa kabla.
Pia, inakuwaje baadhi yao wanaruhusiwa kufanya kazi kwa kibali cha utalii (tourist permit) badala ya kibali cha kazi (work permit)? Hali hii inalinyima taifa mapato na kuzua maswali kuhusu usimamizi wa sheria za uhamiaji. Je, tatizo hili litapatiwa lini ufumbuzi?
View attachment 3634083
Haaaahaa 😁 😁Ngariba ndo diwani wa kata kwenye kijiji..... Ukeketaji hautoisha apo
Nachoka kabisaUkiwa mzalendo Tanzania utakonda sana kwa mawazo
Pole kaka,this is TanzaniaNachoka kabisa
Hakika, hali inatia huruma sanaUkiwa mzalendo Tanzania utakonda sana kwa mawazo
Mno!Hakika, hali inatia huruma sana
Uzalendo wa maumivu, inahitaji moyo wa kishujaa kusema au kuchangia. Hali inasikitisha mpaka basiMno!
Hali siyo Boss,Inasikisha sana...
Anfanyaje kazi na Tourist visa? Badala ya kutafuta working permit Class A au B...
Cc: Mahondaw
The rotten system.Huu mchezo unachezwa sana, hata sio wachina tu. Wageni wengi wako hapa nchini, wanafanya kazi kwa tourist permit. Kila baada ya miezi mitatu afisa "yao" ya uhamiaji hupeleka pasipoti airport kuweka mihuri mipya. Hela wanachukua dola 100, 50 ya cheti na 50 anakula afisa pamoja na mtandao wao..