Inakuwaje haya majina ya kiswahili kwa Wanigeria?

Inakuwaje haya majina ya kiswahili kwa Wanigeria?

Tekno hajawahi kuwa na wimbo unaitwa PANYA, bali unaitwa PANA..

Bracket ndiyo wana wimbo unaitwa PANYA..
wameimba huo wimbo wakimshirikisha Tekno.
Umetoa mchango wako as if Tekno kwenye hiyo collab hayupo.
 
Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti

Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee

Nijikite kwenye mada, katika pita pita zangu huko Youtube nimekutana na wimbo wa msanii Tekno unaitwa KATA,je hili neno kata limekaaje.

Maana wimbo unaonekana ni english version,hii imekaaje?

Pia Mr flavour nae ana wimbo unaitwa NNE KATA,je ni lugha yao au wanachomekea maneno ya kiswahili.
Uzi tayari
Acha wakitangaze Kiswahili hata kama ni matapeli wa kunuka.
 
Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti

Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee

Nijikite kwenye mada, katika pita pita zangu huko Youtube nimekutana na wimbo wa msanii Tekno unaitwa KATA,je hili neno kata limekaaje.

Maana wimbo unaonekana ni english version,hii imekaaje?

Pia Mr flavour nae ana wimbo unaitwa NNE KATA,je ni lugha yao au wanachomekea maneno ya kiswahili.
Uzi tayari
hawachomekei maneno ya kiswahili ...
Wanaimba kilugha chao...Flavour Ni Igbo...also Tekno...
Ila nnekata nu Didi bonge ya songi humo ndani kwenye video Kuna zigo la haja ..kakionjo...
Nnekata UN didi ooooooh, baby mo idi hot tu So different ti oh, baby oh I pu la iche oh Anyawu ututu, nwa chukwu kelu ubosi uka confidence si oh, baby mo my love oh
 
Hizo ni lugha zao mkuu, ukisema uchukue maneno ya mataifa ya nje uyalete kwenye kiswahili utagombana na watu.
Mfano huyo Tekno kuna wimbo wake ameimba 'Panya'.
huko kwao neno Panya lina maana ya Binti au Mwanamke mrembo, lakini hapa kwetu Panya ni kiumbe msumbufu katika nafaka.
hahaha
 
Back
Top Bottom