Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Ila we dada asa hapa nahau zinatoka wapi?Hizo na nahau tu. Siyo kwamba ni methali
Work work work work. Duh tupo nyuma sanaHata Rihanna aliimba Kwaakwaakwaakwaa, sasa sijui alimaanisha kunguru wa Zanzibar kwa kiinglish!
Sawa mkuu, chukua tuzo!Tekno hajawahi kuwa na wimbo unaitwa PANYA, bali unaitwa PANA..
Bracket ndiyo wana wimbo unaitwa PANYA..
wameimba huo wimbo wakimshirikisha Tekno.Tekno hajawahi kuwa na wimbo unaitwa PANYA, bali unaitwa PANA..
Bracket ndiyo wana wimbo unaitwa PANYA..
Acha wakitangaze Kiswahili hata kama ni matapeli wa kunuka.Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti
Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee
Nijikite kwenye mada, katika pita pita zangu huko Youtube nimekutana na wimbo wa msanii Tekno unaitwa KATA,je hili neno kata limekaaje.
Maana wimbo unaonekana ni english version,hii imekaaje?
Pia Mr flavour nae ana wimbo unaitwa NNE KATA,je ni lugha yao au wanachomekea maneno ya kiswahili.
Uzi tayari
hawachomekei maneno ya kiswahili ...Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti
Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee
Nijikite kwenye mada, katika pita pita zangu huko Youtube nimekutana na wimbo wa msanii Tekno unaitwa KATA,je hili neno kata limekaaje.
Maana wimbo unaonekana ni english version,hii imekaaje?
Pia Mr flavour nae ana wimbo unaitwa NNE KATA,je ni lugha yao au wanachomekea maneno ya kiswahili.
Uzi tayari
π π πWork work work work. Duh tupo nyuma sana
π π πNi binamu yake Afande Sele.
hahahaHizo ni lugha zao mkuu, ukisema uchukue maneno ya mataifa ya nje uyalete kwenye kiswahili utagombana na watu.
Mfano huyo Tekno kuna wimbo wake ameimba 'Panya'.
huko kwao neno Panya lina maana ya Binti au Mwanamke mrembo, lakini hapa kwetu Panya ni kiumbe msumbufu katika nafaka.