Inakuwaje hii?

Inakuwaje hii?

keke

Senior Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
106
Reaction score
14
Inakuwaje mpenzi wako / mume au mke anapo kuita jina ambalo siyo lako?? tena ni mara kwa mara?
 
1.akilini mwake kuna kuna hilo jina,analiwaza kila mara,anampenda sana huyo mtu.
2.pole,kwa kifupi andika umeumia.
 
hakuiti jina lako halisi, kama unaitwa Juma basi atakuita Hamisi...... wakati wa maongezi ya kawaida, inakua kama anajisahau hivi.
 
Anakuwa hajui kutofautisha kati ya juma na hamis kwa ufupi anayachanganya(labda ni watu wake wa karib sn mfan kazn kwenye biashara n.k)
 
kwani hilo jina ukimuliza ni nani kwake?
Inategemea na mazoea. Kama mabosi wanaopenda sana kuwatuma tuma masecretary wao, anaweza akawa nyumbani akajisahau akamuita mkewe kwa jina la secretary wake!
 
Na wewe jaribu kumwita la mtu mwingine aone utamu wake.
 
Back
Top Bottom