Inakuwaje Jaji anaahirisha kesi?

Inakuwaje Jaji anaahirisha kesi?

analaizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
1,351
Reaction score
186
Kwanza nampongeza Jaji mkuu kwa kupenda haki na kuonyesha uadilifu katika utendaji wake.Naomba kwa upeo huo atusaidie.

INAKUWAJE MAJAJI WENGINE HUAHIRISHA KESI KIMCHEZOMCHEZO MNO? JAJI ANAPANGA TAREHE MWENYEWE LAKINI IKIFIKA ANAAHIRISHA LABDA KUSOMA HUKUMU. TENA ANAHIRISHA KWA MIEZI MITATU AU HATA MINNE.

JAJI MKUU TUSAIDIE

Uahiridhaji ni kawaida pale mdaiwa anapokuwa Taasisi ya Serikali.mwananchi hapati haki. Chunguza madai ya aina kwa majaji.hata wanapotoa hukumu haziheshimiwi mlalamikiwa anaposhindwa
 
Back
Top Bottom