This Aladeen is very Aladeen
Bi Chura ni 🚮🚮🚮🚮, halaf hata haelewi kuwa mwakani majira kama haya tumeshaanua majamvi na kumsahauKUlikuwa na haja gani ya kuwa na huu uchaguzi ikiwa ni maigizo matupu.
Nimezunguka Dar yote sijaona picha wala bango la mgombea mwingine yeyote wa Uraisi mbali ya Samia.
Ikija kwa wabunge na madiwani ni wa CCM tu ndio wametanda. Kwa picha chache za upinzani zilizopo ni vikaratasi vya A4 ambavyo vimemezwa na mipicha mikubwa ya wana CCM.
Huu uchaguzi umekuwa mithili ya mechi ya mpira ambayo wachezaji wa timu zote mbili wanafungia goli moja na point zote zinaenda kwa timu moja tu.