Tatizo linakuja kweny ushahid ...unakuta ushahd huko weakness sana...Wataalamu wa sheria,
Hv majuzi nilisoma gazeti la mwananchi huko mkoani Tabora kuna Baba amembaka binti yake wa miaka 16 zaidi ya mara moja na kumpa ujaauzito, kumkatisha masomo ya sekondari, habari hii ilinisikitisha sana chakushangaza sasa hukumu aliyopewa na kufungwa miaka minne 4. Kwa Kweli imenishangaza sana haya mambo ya sheria.
Nimebaki na maswali mengi, nafahamu kubaka tu ni kifungo zaidi ya miaka 30, sasa hii ya kubaka Mtoto wake kumpa ujauzito bado mtu anahukumiwa miaka minne?
Hili limekaaje??
iyo nikwel check humu jf utaona thread ..source mwananchiWekeni hilo gazeti tulisome pamoja
Oyaaa JF sio genge la kahawa kila hoja inajibiwa kwa hoja[emoji1321]
Hakimu kusema ivyo aimaanishi nikweli ushahid umekamilika vizuriWamesema ushahidi ulioletwa pasi na shaka unamtia hatiani mtuhumiwa na wamejiridhisha na ushahidi ulioletwa mahakamani
hilo jambo sio la kweli, na kama ni la kweli basi sio muda rufaa itakuwa imeshafika mahakama kuu kuweka hukumu sawa, kama ushahidi unatosha. minimum sentence ya rape ni 30, ila mtu anawezapigwa hata life. hapo wangeamua wangempiga hata incest by males, akapigwa 30, ilikuwa uchaguzi tu wampige na charge ipi. mahakama itakuwa ilijielekeza vibaya sana kama imempa rapist 4 years. au magazeti yaanaweza kuwa yamepotosha.Wataalamu wa sheria,