kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,899
Wataalamu wa sheria,
Hv majuzi nilisoma gazeti la mwananchi huko mkoani Tabora kuna Baba amembaka binti yake wa miaka 16 zaidi ya mara moja na kumpa ujaauzito, kumkatisha masomo ya sekondari, habari hii ilinisikitisha sana chakushangaza sasa hukumu aliyopewa na kufungwa miaka minne 4. Kwa Kweli imenishangaza sana haya mambo ya sheria.
Nimebaki na maswali mengi, nafahamu kubaka tu ni kifungo zaidi ya miaka 30, sasa hii ya kubaka Mtoto wake kumpa ujauzito bado mtu anahukumiwa miaka minne?
Hili limekaaje??