sms had j3
Me nltoka makao makuu Jana wakatuambia majna watayaachia j5 ya trh 15
Me nltoka makao makuu Jana wakatuambia majna watayaachia j5 ya trh 15
Yaa tulienda hyo j moc tena tukikuepo wanafunz co weng altoka mfanya kaz m1 akasema naenda huku Mara moja then nkrud ntawahudumia,bdae kdogo akaja mlnz akiwa amepewa salam aje atuambie kwamba wale wa transfer majna wataachia j5 na kama tu nataka maekezo zaid twende kesho I mean j3
kidogo maelezo yanatia moyo..thumb up mkuu..!
dah...yan mizinguo sana me also cjajua coz mwenyewe nliapply ila sijapata msg yyte labda tusubir hyo kesho..Jamani kuna updates zozote kama kuna watu wamepata ujumbe wa kuwa wako Transfered
Message kutoka chuo cha awali, inasema dogo wahi chuo haraka xana wakatoa na ankara yao pamoja na mobile number, inamaana tcu ipo kimya xana alafu kama kunaubabe kati yao (tcu na vyuo vikuu) kwasababu deadline za chuo zpo karbu xana alafu kama wamechafukwa moyo vile kwasababu hizo biti wanazopiga ni full vurugu mechi, ebu mwenye idea axeme kuhusu wanaochelewaga chuo?