Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

kuna mtuu aliuliza swali humu ndan kuhusu kle kipengele cha category kwny ile transfer form
 
Dah! Mi best yang nlmshaur aende 2 akafanye USAJIL, mengne yatajulkana mbele ya safar coz TCU wanazingua.

Watu mnataka wenyewe kivip nacema hvo; nyie ndo mlio chagua vile vyuo vi 5 then umechaguliwa tena hutaki unafanya mabadiliko nyie kwaxaxa bora hata mkose tuu ili mjifunze.
 
kumbuka kuna wale waliolazmika kuchagua hvyo mara baada ya kuachwa awamu ya kwanza xa bora ungefikiria kwa makin kabla hujanena hayo
 
Utoto raha. Kimsingi wale wote wa transfer kama ulilipa ile Pesa kisha ukatuma slip Kwa email elekwezwa. Nadhani mnajua nachomaanisha. Sasa ni jukumu lako kutuma MTU katika kile chuo ulichoomba kuhamia akakuchukulie admission form ,kuna baadhi ya vyuo vinavyojielewa watakutumia hizo vitu through yo mail. Ila ndugu zangu wa UDOM.!!
Punguza presha , usitishiwe Na walioanza kusoma. Chuo hatushindani.
Poleni Kwa usumbufu mnaoupata.
 
kuna mtuu aliuliza swali humu ndan kuhusu kle kipengele cha category kwny ile transfer form

Kile wala sio tatizo. Kwa sababu index no zinajieleza s , p Na........
Primary key hapa ni index no. Pia TCU wapo integrated Na necta Na Heslb. So ondoa shaka
 
Kila mtu akienda anapewa jibu lake mara j5, mara alhami sasa leo ijumaa cjui tukienda leo watasema jpili!!!
 
Ndo hvyo tunaenda mkuu hatuchoki sababu cye ndo tunashida bana japo wengne ada tumezkusanya miaka kwa shida still tunasumbuka bado duhh
 
Ndo hvyo tunaenda mkuu hatuchoki sababu cye ndo tunashida bana japo wengne ada tumezkusanya miaka kwa shida still tunasumbuka bado duhh

Mungu yupo pamoja nasi kaka tutafika tu tunapopataka
 
Medical related programs wametoa ila kama huna one or two basiiiii na two ya maana
 
Back
Top Bottom