Inakuwaje kuwe na tofauti za mishahara kwa kada sawa

FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
915
Reaction score
638
Hivi ni kwa nini mwalimu anayefundisha chuo cha ualimu ,kwa mfano aliyemaliza degree aanze na mshahara wa TGTS E wakati yule wa sekondari aanze na TGTS D? Kama kigezo ni kufundisha chuo, mbona kuna walimu waliosoma BED wako sekondari halafu wanaanza na TGTS D, wakati walioko vyuoni TGTS E?
 
Mipango tu ya serekal fanya yako jifnze kutmia salary yako kwa akil zaid utatoka na sio kuja kulia lia hapa jukwan na povu jing
 
mipango tu ya serekal fanya yako jifnze kutmia salary yako kwa akil zaid utatoka na sio kuja kulia lia hapa jukwan na povu jing

tumia akili kidogo, jamaa kauliza tofauti ya salary, wewe unamdharau na kejeli
 
apo sijajua sasa kwanini kuna tofauti
 
Wengne wapo central government na wengne local
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…