FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 915
- 638
Hivi ni kwa nini mwalimu anayefundisha chuo cha ualimu ,kwa mfano aliyemaliza degree aanze na mshahara wa TGTS E wakati yule wa sekondari aanze na TGTS D? Kama kigezo ni kufundisha chuo, mbona kuna walimu waliosoma BED wako sekondari halafu wanaanza na TGTS D, wakati walioko vyuoni TGTS E?