Inakuwaje kwa madaktari tuliowasomesha lakini wamekimbilia bungeni kufuata maslahi mazuri!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama vile yeye mwenyewe alivyokacha ualimu na kuingia kwenye siasa.
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee mkubwa huwa hakosei, vyombo vya habari vitakuwa vimemnukuu vibaya.
 
Huyu mtu ni mgonjwa. Acheni ubishi. Mpeni matibabu stahiki tena toka kwa huyo daktari aliyemnanga kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Yuko sahihi kabisa.

Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee kuna siku nyingine unakuwa na akili nyingi kama Tundu Lissu vile, halafu kuna siku ukiamka vibaya, huwa unakuwa kama Goodluck Mlinga!!

Hongera kwa hoja yako! Hakika maendelwo hayana chama. Leo kidogo nimekuelewa.
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Mtaelewa tu.
 
Kwa hiyo huyu daktari kwa kuacha kwake kazi kwa hiari na kwenda sekta binafsi kutafuta maslahi bora amevunja sheria ya utumishi wa umma na kustahili kuadhibiwa siyo?
 
Yuko sahihi kabisa.

Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!

Lakini haukuwa na deni la fedha. Hawa wamekopeshwa na wanalikiwa kulipa bila kukosa. Utawalaumu vipi wakienda kufanya kazi mahali ambapo patawawezesha kulipa deni hilo haraka iwezekananvyo?

Amandla...
 
Wanakopa benki?
 
Mwalimu ni muhimu kuliko daktari. Bila mwalimu haupati daktari lakini bila daktari walimu wanakuwepo.

Amandla....
Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.

Utabibu ni wito tena ni ibada!
 
Alichoongea Magufuli itoshe kutufungua akili kwamba anataka sera inayoweza kuisaidia serikali kumiliki Nguvu kazi kulingana na uwekezaji iliyoifanya.

Katika mazingira haya kuzuia watu uliowakopesha kusoma wasiondoke kwenye taasisi za umma ni sawa na kuwafanya watumwa wa mikopo kitu ambacho ni kinyume Cha sheria.

Ninamuunga mkono raisi kwamba anatamani kina Gwajima wanakuja na sheria ya haraka Sana kubrand na kulinda ajira za serikali
 
Jibu ni ni masilai mazuri yanayo tolewa bila vitisho vya migomo ndio uwavitia kukimbilia huko bungeni
 
Back
Top Bottom