johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama vile yeye mwenyewe alivyokacha ualimu na kuingia kwenye siasa.Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Waalimu wote ni wanasiasa bwashee!Kama vile yeye mwenyewe alivyokacha ualimu na kuingia kwenye siasa.
Bwashee mkubwa huwa hakosei, vyombo vya habari vitakuwa vimemnukuu vibaya.Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Yuko sahihi kabisa.Huyu mtu ni mgonjwa. Acheni ubishi. Mpeni matibabu stahiki tena toka kwa huyo daktari aliyemnanga kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Bwashee kuna siku nyingine unakuwa na akili nyingi kama Tundu Lissu vile, halafu kuna siku ukiamka vibaya, huwa unakuwa kama Goodluck Mlinga!!Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Bila mwalimu huwezi luwa daktari au mwanasheria mzeeeWaalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
Mtaelewa tu.Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Yuko sahihi kabisa.Bwashee mkubwa huwa hakosei, vyombo vya habari vitakuwa vimemnukuu vibaya.
Wewe hujui tofauti ya mwalimu na daktari!Bila mwalimu huwezi luwa daktari au mwanasheria mzeee
Au daktari akizaliwa anajua kusoma na kuandika
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Wewe hujui tofauti ya mwalimu na daktari!
Wanakopa benki?Lakini haukuwa na deni la fedha. Hawa wamekopeshwa na wanalikiwa kulipa bila kukosa. Utawalaumu vipi wakienda kufanya kazi mahali ambapo patawawezesha kulipa deni hilo haraka iwezekananvyo?
Amandla...
Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.Mwalimu ni muhimu kuliko daktari. Bila mwalimu haupati daktari lakini bila daktari walimu wanakuwepo.
Amandla....