Inakuwaje kwa mschana kuto kuziona siku zake?

Inakuwaje kwa mschana kuto kuziona siku zake?

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Ndg wana jf, hv yaweza ktokea kwa msichana kutotoka hedhi hata pale sku zake za mwez alizo zizoea zinapo fika na kupita? Kama ndiyo, hali hiyo husababishwa na nini kama msichana husika si mjamzito? na inaweza chukua mda gani hedhi kutoka tangu siku ambayo msichana huyo aliitazamia kutoka according to kalenda yake ya kawaida? Mfano: 'Msichana alitarajia kuona siku zake juzi kwa mujibu wa kalenda yake, lakn hadi leo kimya na hana ujauzito', tatzo nini?
 
yani juzi tu ushaanza kuwa na wasiwasi?
stresses, kurupushani za maisha, matumizi ya dawa, vyote hivyo vinaweza kusababisha hormonal imbalance kwa muda flan na badala ya kuona siku zake kwa juzi zinaweza kupita hata sku7 ama zaidi.
nilikuwa na rafiki ambaye alipata ugonjwa wa uvimbe shingoni, her monthly period changed becaus of using the pills for her uvimbe
 
inaweza kuwa ni mabadiliko ya hali ya hewa pia.or else fibroids. Angalia baada ya wiki mbili kama bado hajaanza safari ya mwezini amuone dr wa wanawake. siku nyingine mtumie kinga kama bado hujahalalisha kuepuka wasiwasi eeh...thawa?
 
Ndg wana jf, hv yaweza ktokea kwa msichana kutotoka hedhi hata pale sku zake za mwez alizo zizoea zinapo fika na kupita? Kama ndiyo, hali hiyo husababishwa na nini kama msichana husika si mjamzito? na inaweza chukua mda gani hedhi kutoka tangu siku ambayo msichana huyo aliitazamia kutoka according to kalenda yake ya kawaida? Mfano: 'Msichana alitarajia kuona siku zake juzi kwa mujibu wa kalenda yake, lakn hadi leo kimya na hana ujauzito', tatzo nini?

YAZINGATIE WALIYOYASEMA WACHANGIAJI WALIOPITA,,YAANI,,itnojec na king'asti!!
 
kama una uhakika kuwa hakuna ujauzito,kwa mchakato ulio sahihi zaidi, jikabidhi kwa daktari, ikwezekana bingwa wa akina mama (Gynaecologist) .
 
Huwa inatokea kwa baadhi ya wasichana wanapobadili mazingira.
Kuna mmoja alikuwa akienda shule (boarding) haingii mp mpaka anaporudi kwao likizo.
Siku 3 bado chache aache uoga. Mzunguko huwa haupo constant mara nyingine aendelee kusikilizia kama hali si shwari akamuone daktari.
 
Back
Top Bottom