Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Ndg wana jf, hv yaweza ktokea kwa msichana kutotoka hedhi hata pale sku zake za mwez alizo zizoea zinapo fika na kupita? Kama ndiyo, hali hiyo husababishwa na nini kama msichana husika si mjamzito? na inaweza chukua mda gani hedhi kutoka tangu siku ambayo msichana huyo aliitazamia kutoka according to kalenda yake ya kawaida? Mfano: 'Msichana alitarajia kuona siku zake juzi kwa mujibu wa kalenda yake, lakn hadi leo kimya na hana ujauzito', tatzo nini?