1.umetumia vigezo gani kumtofautisha lijamaa tu la mtaani ambalo halina mbele wala nyuma kimaisha na watu wengine hapo mtaani?Kuna hili swali linanisumbua sana kichwani mwangu:
Hivi inakuwaje msichana anaweza kutoka kuongea na shoga yake kuhusu habari za msichana mwenzao ambaye amepewa ujauzito na lijamaa tu la mtaani ambalo halina mbele wala nyuma kimaisha, na yeye baada ya mazungumzo hayo akaenda kufanya vivyo hivyo. Unaweza kukuta ni mwanafunzi wa shule, akaenda kufanya ngono na kuambulia ujauzito na kijana wa mtaani ambaye hana nia wala uwezo wa kumuoa? Inakuwaje mambo haya jamani, kwa nini asijifunze?
Hajaweka mada yake vizuri ila point yake ni kwamba kwanini mtu anakua anajua kabisa athari za kitu fulani kwa kuona kwa wengine na bado anafuata njïa ile ile?1.umetumia vigezo gani kumtofautisha lijamaa tu la mtaani ambalo halina mbele wala nyuma kimaisha na watu wengine hapo mtaani?
2.''Kijana wa mtaani ambaye hana nia wala uwezo wa kumuoa''-wewe umejuaje?who are you to judge other people?
Dayyym!I'm a man! Uliyosema ni ya kweli!Mwanamke asie danganyika sio mwanamke....atakuwa ni mwanaume...
Wanawake wameumbwa hivyo....
Dayyym!I'm a man! Uliyosema ni ya kweli!
Hehehehe good for me.Kwahiyo na wanaume wanaodanganyika inakuaje?unanitisha
nilishaanza mipango ya kukudanganya...
Hehehehe good for me.Kwahiyo na wanaume wanaodanganyika inakuaje?
kwani we ni mwanaume...?
wanaume tunadanganyika kwa makusudi...
tunaamua kudanganyika....
Just curious!
Mmmh kumbe na nyie mnadanganyika?Basi mimi sio mwanaume wala mwanamke!
Inakuwa bahati mbaya it was not intended lolkwani we ni mwanaume...?
wanaume tunadanganyika kwa makusudi...
tunaamua kudanganyika....
Inakuwa bahati mbaya it was not intended lol
wanawake wanadanganyika
wanaume tuanaamua kudanganyika...
so wewe ni bi sio?
Inakuwa bahati mbaya it was not intended lol