Kuna hili swali linanisumbua sana kichwani mwangu:
Hivi inakuwaje msichana anaweza kutoka kuongea na shoga yake kuhusu habari za msichana mwenzao ambaye amepewa ujauzito na lijamaa tu la mtaani ambalo halina mbele wala nyuma kimaisha, na yeye baada ya mazungumzo hayo akaenda kufanya vivyo hivyo. Unaweza kukuta ni mwanafunzi wa shule, akaenda kufanya ngono na kuambulia ujauzito na kijana wa mtaani ambaye hana nia wala uwezo wa kumuoa? Inakuwaje mambo haya jamani, kwa nini asijifunze?