Inakuwaje magazeti ya Shigongo ndiyo yanachochea bifu za wasanii

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, huwezi ukasoma magazeti ya udaku ukakosa ugomvi wa wasanii na mambo yasiyofaa kwa jamii.

Jana kwenye vichwa vya habari vimejaza mwendelezo wa ugomvi kati ya Mjela jela wa clement na muuza sura maarufu wa kuachwa na kurudiwa na mzee wa 7tuzo.

Binafsi sipendi kuona vijigazeti vinashadadia ugomvi au vinatangaza bifu huku nyuma vikijigamba kuwapatanisha. Kesho kuna bifu ya mateja, teja la USA na teja la kinondoni langata,naona wamelianzisha kwenye instgram
 
Visipoandika kuhusu ugomvi havitanunulika....
 
Habari mbaya kwa msanii ndo habari njema kwa udaku medias
 
shigongo mwehuu haendi chooni na familia yake bila wema na kajala
 
shigongo mwehuu haendi chooni na familia yake bila wema na kajala

Yaani vigazeti vinakimzana lingine wamepatana
NA kula daku pamoja lingine hataki kuona sura ya mamadomo lingine shangazi analiwa na domo
 
Ila wanaoyasoma haya magazeti ndio wakulalamikiwa
 
Yaani vigazeti vinakimzana lingine wamepatana
NA kula daku pamoja lingine hataki kuona sura ya mamadomo lingine shangazi analiwa na domo

mi sahv nkiona mtu mzima anayanunua namtoa thamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…