mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, huwezi ukasoma magazeti ya udaku ukakosa ugomvi wa wasanii na mambo yasiyofaa kwa jamii.
Jana kwenye vichwa vya habari vimejaza mwendelezo wa ugomvi kati ya Mjela jela wa clement na muuza sura maarufu wa kuachwa na kurudiwa na mzee wa 7tuzo.
Binafsi sipendi kuona vijigazeti vinashadadia ugomvi au vinatangaza bifu huku nyuma vikijigamba kuwapatanisha. Kesho kuna bifu ya mateja, teja la USA na teja la kinondoni langata,naona wamelianzisha kwenye instgram