Inakuwaje Makonda anaongea kisomi kuliko "daktari" Mwigulu

Mwigulu elimu yake ni ya kukariri ndiyo maana kila diku anarudia mambo yale yale anakosa creativity, kusema kweli anaboa sana ndiyo maana anapenda kutumia sana vidole wakati anaongea akiaminini kuwa itamuongezea mvuto kwa wanaomsikiliza. Eti bado ana ndoto ya kujakuwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…