Na hilo ndio la maana, tatizo letu kiu na tamaa za papo kwa hapo unatupeleka pabayaOk....
Kuna haja ya kuwekeza muda na resources zaidi tunapotafuta soulmates....:yield:
sijakuelewa RR una maana gani unataka tuishi kwa vinyongo sababu mtu alikuacha sijaelewa.
Hapana Chauro....visasi, vinyongo n.k. vinasababisha maumivu zaidi....
Nilimaanisha tuwe tunatumia muda na akili nyingi kabala ya kuanza mahusiano......pia tusizibe masikio kwa kupenda....
(Japo swali linabaki kwamba utayajuaje haya kabla ya uzoefu)[/FONT]
Back to mjukuu's thread...
Hivi katika umri wako ni mara ngapi ushaona kijana (mdogo sana kukuzidi), akizama kwenye penzi la kijana mwenzie, ila ukiwa una hakika huyo mwenzie ni tapeli wa kimapenzi?
Ni mara ngapi ulijitahidi kumwelezea huyo dogo kwamba anauvaa mkenge ila akiweka supagluu kwenye masikio?
Mara nyingi watu wanaumizwa sana kimapenzi wanakua wameshakaidi sana muongozo wa wakubwa zao......kuna mtu kwa uzoefu wako unaona kwamba ni crap....hana mapenzi ya dhati...ila ukiwamwambia yule aliyependa anakuona wewe ni crap....
Then booooooom!
MJ1, Nyamayao et al, hamkuwahi kupokea maonyo kwamba hao jamaa walikua craps....?
naona kama umenichanganya...nikifikiria nilivyoumizwa nilipopenda kwa moyo wangu wate, akili zangu zote,hisia zangu ,mawazo yangu yote,upendo wangu wote,
HUWA NAJISIKIA KULIA SANA NA LAZIMA MACHOZI YANITOKE HAIJALISHI NIPO WAPI NI LAZIMA NILIE... JAPO NI MIAKA MINGI SANA LAKIN KILA NIKIJARIBU KUSAHAU NASHINDWA......UKIPATA MPENZI ASIYEJUA KUPENDWA INAUMIZA SANA MI NAONA BORA MAUMIVU YA KUCHINJWA NA KISU..NAAMINI NTAENDELEA KULIA,KUUMIA NA PENZI LILILOVUNJIKA MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU.........NATAMANI KUZALIWA UPYA LAKIN HAIWEZEKANI NA JUA LISHAZAMA TAYARI LILILOBAKI NI KUMWOMBA MUNGU KWA SIKU CHACHE HIZI NILIZOBAKIZA HAPA DUNIANI NI TENDE YANAYOMFURAHISHA NA KUMTUKUZA MUNGU TU...
NAAMINI SIKUZALIWA KUFURAHIA MAPENZI, NILIZALIWA NIYASIKIE TU KWA HAO WENYE BAHATI YA KUPENDA NA WAKAPENDWA PIA.
ASANTE SANA MWANAJAMII ONE KWA KUUGUSA MOYO WANGU....
naona kama umenichanganya...
waweza kuwa ulikua unampenda sana, lakini sivyo alivyotaka kupenda yeye. wajameni naomba tujifunze kwamba kukufanyia ninachopenda sio kukupenda bali kukufanyia unachopenda ndio kukupenda
Mapenzi yana parts kubwa mbili, emotional na actions waweza kuwa 100% in love but your actions are only 15% to the expectations of the client
think about it
Dah,
mkuu MTM huu uchamuzi wako unahitaji tafakari pana zaidi.
umekwenda too deep. Inanibidi kutafuna na kumeza upya
yasijesababisha indigestion na constipation bure!
Ahsante Mkuu. Nayatafakari Upya.