Inakuwaje Mambo haya??

Inakuwaje Mambo haya??

sijakuelewa RR una maana gani unataka tuishi kwa vinyongo sababu mtu alikuacha sijaelewa.

Hapana Chauro....visasi, vinyongo n.k. vinasababisha maumivu zaidi....
Nilimaanisha tuwe tunatumia muda na akili nyingi kabala ya kuanza mahusiano......pia tusizibe masikio kwa kupenda....
(Japo swali linabaki kwamba utayajuaje haya kabla ya uzoefu)
 
ni kweli RR,nadhani vinyongo vinaumiza zaidi kuliko kukujenga na huwa tunamuacha Mungu nyuma kwenye mengi halafu yakiharibika tunaanza kulalamika.

hapo kwenye red ni ngumu sana kabla ya kupewa adabu mara kadhaa huwezi kushtuka lakini wakati mwingine hutufanya/hutugeuza kuwa wabaya na kuwaumiza hata wasiostahili.

Hapana Chauro....visasi, vinyongo n.k. vinasababisha maumivu zaidi....
Nilimaanisha tuwe tunatumia muda na akili nyingi kabala ya kuanza mahusiano......pia tusizibe masikio kwa kupenda....
(Japo swali linabaki kwamba utayajuaje haya kabla ya uzoefu)[/FONT]
 
Back to mjukuu's thread...
Hivi katika umri wako ni mara ngapi ushaona kijana (mdogo sana kukuzidi), akizama kwenye penzi la kijana mwenzie, ila ukiwa una hakika huyo mwenzie ni tapeli wa kimapenzi?
Ni mara ngapi ulijitahidi kumwelezea huyo dogo kwamba anauvaa mkenge ila akiweka supagluu kwenye masikio?

Mara nyingi watu wanaumizwa sana kimapenzi wanakua wameshakaidi sana muongozo wa wakubwa zao......kuna mtu kwa uzoefu wako unaona kwamba ni crap....hana mapenzi ya dhati...ila ukiwamwambia yule aliyependa anakuona wewe ni crap....
Then booooooom!

MJ1, Nyamayao et al, hamkuwahi kupokea maonyo kwamba hao jamaa walikua craps....?

mie nilikuwa ctaki kuckiliza la m2 na frnds zangu walikuwa kama wanaogopa kuniambia mambo yaliyo nyuma ya pazia, ile ilivyotokea booom, niliporomoshewa maelezo/ma2kio ya jamaa nilichoka mwenyewe...
 
nikifikiria nilivyoumizwa nilipopenda kwa moyo wangu wate, akili zangu zote,hisia zangu ,mawazo yangu yote,upendo wangu wote,
HUWA NAJISIKIA KULIA SANA NA LAZIMA MACHOZI YANITOKE HAIJALISHI NIPO WAPI NI LAZIMA NILIE... JAPO NI MIAKA MINGI SANA LAKIN KILA NIKIJARIBU KUSAHAU NASHINDWA......UKIPATA MPENZI ASIYEJUA KUPENDWA INAUMIZA SANA MI NAONA BORA MAUMIVU YA KUCHINJWA NA KISU..NAAMINI NTAENDELEA KULIA,KUUMIA NA PENZI LILILOVUNJIKA MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU.........NATAMANI KUZALIWA UPYA LAKIN HAIWEZEKANI NA JUA LISHAZAMA TAYARI LILILOBAKI NI KUMWOMBA MUNGU KWA SIKU CHACHE HIZI NILIZOBAKIZA HAPA DUNIANI NI TENDE YANAYOMFURAHISHA NA KUMTUKUZA MUNGU TU...
NAAMINI SIKUZALIWA KUFURAHIA MAPENZI, NILIZALIWA NIYASIKIE TU KWA HAO WENYE BAHATI YA KUPENDA NA WAKAPENDWA PIA.
ASANTE SANA MWANAJAMII ONE KWA KUUGUSA MOYO WANGU....
 
naona kama umenichanganya...

waweza kuwa ulikua unampenda sana, lakini sivyo alivyotaka kupenda yeye. wajameni naomba tujifunze kwamba kukufanyia ninachopenda sio kukupenda bali kukufanyia unachopenda ndio kukupenda

Mapenzi yana parts kuba mbili, emotional na actions waweza kuwa 100% in love but your actions are only 15% to the expectations of the client

think about it
 
Sikuhizi kupata pamanenti ni kazi sana.......wewe unaweza kujipamanentisha lakini mwenzako akawa tofauti kabisa
 
naona kama umenichanganya...

waweza kuwa ulikua unampenda sana, lakini sivyo alivyotaka kupenda yeye. wajameni naomba tujifunze kwamba kukufanyia ninachopenda sio kukupenda bali kukufanyia unachopenda ndio kukupenda

Mapenzi yana parts kubwa mbili, emotional na actions waweza kuwa 100% in love but your actions are only 15% to the expectations of the client

think about it

Dah,

mkuu MTM huu uchamuzi wako unahitaji tafakari pana zaidi.
umekwenda too deep. Inanibidi kutafuna na kumeza upya
yasijesababisha indigestion na constipation bure!

Ahsante Mkuu. Nayatafakari Upya.
 
Dah,

mkuu MTM huu uchamuzi wako unahitaji tafakari pana zaidi.
umekwenda too deep. Inanibidi kutafuna na kumeza upya
yasijesababisha indigestion na constipation bure!

Ahsante Mkuu. Nayatafakari Upya.

Kamanda we acha tu, i remember there was a time nilikua na case kama hiyo, the lady nilikua nampenda sana, lakini kila nilivyokua najaribu kum-treat, tena kwa kujikaza kishenzi, ndivyo tulivyokua tunazidi kupishana, she wanted a genuine, crazy, wild and abstract man, i was too obsessed with ended up being a gentleman and with a gentleman siku zote ni stress... IF YOU THINK I AM JOKING, TRY A LADY FOR ONE MONTH UONE UTAKAVYOKONDEANA, while msela wa watu hata expectations ni tofauti

to me love is purely a chemistry between the two, hata ujitoe vipi kama chemistry imefeli basi hata miili yenu itashindwa kupashana majotro and slowly the sex life will be in big trouble
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom