Nelly Huyu
Member
- Mar 31, 2011
- 35
- 3
Never rush in love for it never runs out. Let love be the one to knock at your door, so by the time you start to fall, you know that your feeling is for sure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NImesoma hii thread... na bahati mbaya sana sikuiona kabisa maana nilikua bize kweli na povu za siasa (dada regia kaniambukiza kabisa siku hizi)
Mdogo wangu MJ1
Binafsi naamini kwamba binadamu tupo tofauti kama ambavyo fingerprints zetu zilivyo... OSme of us live life ile ya high na low kama mawimbi ya bahari, na kama umeandikiwa hivyo basi ujue kwamba utakua hivyo hadi unaingia kubrini... Pole kama nawe ni mmoja wao. Ila kwa hili siamini wewe u-mmoja wao, wengi wa aina hii hutokana na kukosa confidence au kuwa na huruma zilizozidi... sometimes ni ile hali ya kutotosheka hasa ukilinganisha na previous love life... Kuna watu wamepewa roho ya huruma sana na usahaulifu usio na kifani, hao nao huumia na kuishi a very unstable life, AU UNA EGO YA KUKATAA KUTOSWA HADI UTOSE WEWE... HAVE EVER FELT BAD UKIMTOSA MTU? KAMA SIO BASI UJUE UNAPENDA KUSHINDANA NA MOYO WAKO
Sasa on your case... yawezekana unamiss replacement, you pick wrong types au you are just not sure of what you want to do... Hata tufanyeje, au tu advice nini... in the end wewe ndiyo mwenye moyo na pia mwenye mapenzi
ushauri wangu ni mmoja tu.... learn to lose, learn to give up, learn to be selfish and learn to be proud of your self and your decisions... YOU ARE GIVING TOO MUCH AWAY!!!
If I were you, I wouldnt ever give my heart to a person that I am sure of her capability to hurt me one more time!!
Mdogo wangu MJ1[/SIZE]
Duh kaka lazima utakuwa senior citizen kama mimi...teh teh teh.....manake wengine tushazeeshwa na wazushi tokea siku nyingi tu. Eti NN mdingi ahahahahahaaaa.....usilolijua kweli lasumbua.
...Mwanajamii kila nikitafakari hii mada yako naishia na jibu moja.
Kwa experience uliyoizungumzia, it's most likely linapokuja suala la mapenzi
Unatoa zaidi mapenzi kuliko unavyoyapokea.
Bahati mbaya, watu wengi waliojaaliwa utajiri wa mapenzi (kama Mwj1 :tongue🙂
hupata wenza ambao ni wachoyo kutoa na ambao hudai wapewe ziada.
Kutokana na hazina ya utajiri wa Mapenzi, kina Mwj1 wengi huishia kuugulia kimoyo moyo
kwa kuhofia kuwaudhi/kuwapoteza wapenzi wao.
Labda tuchunguze pia iwapo tabia za utotoni (insecurities) zimechangia hali hii ukubwani.
NImesoma hii thread... na bahati mbaya sana sikuiona kabisa maana nilikua bize kweli na povu za siasa (dada regia kaniambukiza kabisa siku hizi)
Mdogo wangu MJ1
Binafsi naamini kwamba binadamu tupo tofauti kama ambavyo fingerprints zetu zilivyo... OSme of us live life ile ya high na low kama mawimbi ya bahari, na kama umeandikiwa hivyo basi ujue kwamba utakua hivyo hadi unaingia kubrini... Pole kama nawe ni mmoja wao. Ila kwa hili siamini wewe u-mmoja wao, wengi wa aina hii hutokana na kukosa confidence au kuwa na huruma zilizozidi... sometimes ni ile hali ya kutotosheka hasa ukilinganisha na previous love life... Kuna watu wamepewa roho ya huruma sana na usahaulifu usio na kifani, hao nao huumia na kuishi a very unstable life, AU UNA EGO YA KUKATAA KUTOSWA HADI UTOSE WEWE... HAVE EVER FELT BAD UKIMTOSA MTU? KAMA SIO BASI UJUE UNAPENDA KUSHINDANA NA MOYO WAKO
Sasa on your case... yawezekana unamiss replacement, you pick wrong types au you are just not sure of what you want to do... Hata tufanyeje, au tu advice nini... in the end wewe ndiyo mwenye moyo na pia mwenye mapenzi
ushauri wangu ni mmoja tu.... learn to lose, learn to give up, learn to be selfish and learn to be proud of your self and your decisions... YOU ARE GIVING TOO MUCH AWAY!!!
If I were you, I wouldnt ever give my heart to a person that I am sure of her capability to hurt me one more time!!
Babu nawe umeona eh.........yaani nadhani muda wote wa skuli nitahakikisha naopt masomo yao...............Nyie watu wawili.....naogopa kufanya name calling hapa kwa kuwa nawajua majina yenu halisi na profesheni zenu.......
Kuna tangazo la kazi pale chuo cha Ustawi wa jamii..........wanahitaji wahadhiri waandamizi..............you are damn good counselors asee!
MwanajamiiOne.....hebu chukua fomu asee...........nakushauri uanze na Certificate, haya mamjamaa yatakupasua kichwa ukianza na digrii!
Kuna watu hua wanaamini wanaweza kumfanya mtu awapende kwahiyo hawakati tamaa..kuna wale wanaomini hamna mwingine kama huyo or atleast mwenye vigezo vilivyomvutia kwake on the first place..kuna kutojiamini..kupenda kwa upofu..kukataa matokeo yani kuna watu hawakubali kushindwa..woga!
Wapo wanaofanikiwa kuwafanya watu wengine kuwapenda, kwa hili kama umependa haifai kukata tamaa.
Wapo wanaofanikiwa kuwafanya watu wengine kuwapenda, kwa hili kama umependa haifai kukata tamaa.
Huko ndo kunaitwa kujidanganya!!!
Utamfanya mtu akupende kwa lazima???Hilo haliwezekani!!Kinachotokeaga ni kwamba mtu anaamua ngoja tu niwe nae....siku akikutana na atakaempenda yeye bila ushawishi ndo unashangaa unaachwa kama vili hukuwahi kuwepo!
Mkuu kuna kitu kinaitwa chemistryWapo wanaofanikiwa kuwafanya watu wengine kuwapenda, kwa hili kama umependa haifai kukata tamaa.
Mapenzi yana-run dunia mzee mwenzanguLabda kama mapenzi yanaweza kufanywa sanaa........
..... and men speak!!!:help:women talk,,,,,:help:
sasa hapo pa kufall fro wrong types......Uwilll so we have types eh?? I thought mapenzi hayachagui na ukipenda unapenda?? Hebu tufundishane jamani kuidentify our types....tunapaswa kuangalia vitu gani??
embu nikuulize Lizzy kwanini in the first place unaamua kuwa na mtu ukijua humpendi?