mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao uwekezaji wao mkubwa kuliko mbeya City. Je, ni hulka ya watu wa mbeya kupenda vya kwao au ni ujinga wa management za Azam na singida unaopunguza mashabiki.