mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Ni wanyakyusa kupenda vya kwao....Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao uwekezaji wao mkubwa kuliko mbeya City. Je, ni hulka ya watu wa mbeya kupenda vya kwao au ni ujinga wa management za Azam na singida unaopunguza mashabiki.
Huko nikupangiana sasawatu wa mikoani shabikieni timu zenu za mkoa na sio kushabikia simba na yanga
Azam ya Wazanzibari..singida ya mafisadi ya ccm ..hizi ndiyo sababu.Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao uwekezaji wao mkubwa kuliko mbeya City. Je, ni hulka ya watu wa mbeya kupenda vya kwao au ni ujinga wa management za Azam na singida unaopunguza mashabiki.
Ni kwasababu ya mabadiliko ya tabia nchiNimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao uwekezaji wao mkubwa kuliko mbeya City. Je, ni hulka ya watu wa mbeya kupenda vya kwao au ni ujinga wa management za Azam na singida unaopunguza mashabiki.
sapoti kwenu mkuu, hata ligi itakuwa ya ushindaniHuko nikupangiana sasa
Tofauti na hii simba yakimataifa ,hata ikiwa ligi kuu sina mpango nayo ,sembuse hizo za huko matopeniš¤sapoti kwenu mkuu, hata ligi itakuwa ya ushindani
nyumbani ni nyumbani hata kama matopeniTofauti na hii simba yakimataifa ,hata ikiwa ligi kuu sina mpango nayo ,sembuse hizo za huko matopeniš¤