Inakuwaje mdada anaanzisha mazoea na mtu kisha anayakata ghafla ukianza kumpa attention

Inakuwaje mdada anaanzisha mazoea na mtu kisha anayakata ghafla ukianza kumpa attention

Joined
Dec 13, 2023
Posts
67
Reaction score
238
Hii imenitokea mara kadhaa.
Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana.

Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena.
Unaweza dhani labda umeokota dodo, unasema ngoja uifanyie kazi hii green light mara inakuwa ngumu kuliko ulivyotarajia.

Hii inasabbishwa na nini wakuu
 
Ghost 👻
 
1000018350.jpg
 
Kuna watu wamelelewa vizuri kwenye majumba yao.....

Utu, uungwana na upendo ni sehemu ya maisha yao......

Inawezekana tafsiri yako na yake vikakinzana.....

Lakini pia inaonekana mtoa mada bado UVULANA haujakuisha.....
 
Tatizo la waafrica ni kudhani kuwa ukaribu kati ya mwanamke na mwanaume ni lazima uletwe kwa uzinzi na ngono tu.
Wenda alikuwa ana hitaji kitu kingine kabisa nje ya huo upuuzi ulio jaa kwenye kichwa chako.
Hasa wanaume.
 
Back
Top Bottom