The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 67
- 238
Nenda nae hivyo hivyo wa hivyo usiwe na haraka nae.
Kuwa simp haifai.Una advocate awe simp mkuu?
Kama mtu hakutaki si bora uendelee tu na maisha mengine?
Ghost 👻Hii imenitokea mara kadhaa.
Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana.
Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena.
Unaweza dhani labda umeokota dodo, unasema ngoja uifanyie kazi hii green light mara inakuwa ngumu kuliko ulivyotarajia.
Hii inasabbishwa na nini wakuu
Rule #1jipende mwenyewe
Hasa wanaume.Tatizo la waafrica ni kudhani kuwa ukaribu kati ya mwanamke na mwanaume ni lazima uletwe kwa uzinzi na ngono tu.
Wenda alikuwa ana hitaji kitu kingine kabisa nje ya huo upuuzi ulio jaa kwenye kichwa chako.
Hilo nalo neno, tusije tukawa tunashauriana na kindergaten hapa.Una umri gani kwanza kabla hatujaanza kukushauri?