Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Kweli kabisaKwa nini usitafute muuzaji mwingine
Njoo kwangu mwaya najibu msg hadi usiku wa mananeMtu anaunda group la Whatsapp, anajaza picture za bidhaa alafu bei tukiuliza anasema njoo inbox. Ukienda inbox anasoma message kimyakimya alafu anachagua za ku reply. Yale maswali magumu hajibu. Huu mtindo unatia shaka sana
Kwako wapi mkuuNjoo kwangu mwaya najibu msg hadi usiku wa manane
Mteja mwenye nia hana maswali magumu.
unauza nini?Njoo kwangu mwaya najibu msg hadi usiku wa manane
Kwanini utume hela kwa mtu usiyemfahamu?What if kaambiwa atume hela kwanza ndo atapewa mzigo? Na muuzaji yupo kizimkazi na mteja yupo Tanganyika
Kwanini utume hela kwa mtu usiyemfahamu?
Si whatsapp😂😂lakini jamaniKwako wapi mkuu
Kila kitu kinachopatikana dar😂unauza nini?
Unaweza kujibiwa maswali yako magumu na ukapigwa. Issue ni kwanini umtumie hela usiyemjua!!?Ngoja mtoa mada ajibu, Ila chukulia mtoa mada amejudge apewe bidhaa malipo after deliver je inawezekana? Hapa kama ni tapeli lazima akae kimya.
Kanuni ya matapeli ni moja tu, Ukimya kwenye maswali yenye sintofahamu kuhusu usalama wa pesa au bidhaa.
Unauza bidhaa gani madam?Njoo kwangu mwaya najibu msg hadi usiku wa manane
Niliwaza mbali nikajua nyumbaniSi whatsapp😂😂lakini jamani
Matapeli nchi hii wengi sana.Mtu anaunda group la Whatsapp, anajaza picture za bidhaa alafu bei tukiuliza anasema njoo inbox. Ukienda inbox anasoma message kimyakimya alafu anachagua za ku reply. Yale maswali magumu hajibu. Huu mtindo unatia shaka sana
Mimi ninataka kila kitu ngoja nije Whatsapp😂Kila kitu kinachopatikana dar😂