Ila wafanyabiashara bana ukiwakuta tik tok,instagram , Twitter hata JF humu wanakwambia njoo watsup nina group ukienda njoo inbox ukienda piga au nitumie sms ya kawaida kwa majibu ya haraka zaidi ukituma analalamika mpo wengi hivyo hawezi jibu haraka