Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili nyingi. Umetumia maisha ya kawaida kuelezea concept ngumu ngumu.Ukiona sehemu imevimba ujue ndani kuna tatizo, so hata Mlima ni sehemu ya ardhi iliyovimba.
Angalia jipu ndani kuna usaha
Mengine ongeza wewe.
Kuna papuchi zimevimba, nazo zina shida ?Akili nyingi. Umetumia maisha ya kawaida kuelezea concept ngumu ngumu.
Safi!
Hilo ndio jibu mkuu ww unashangaa miruko mingi ya nzi kwenye mavi ?Kuna papuchi zimevimba, nazo zina shida ?
Safi sana mkuu japo kiduchu, umefanya nikunjue akili yangu kwa kuusoma huu uzi.Mara nyingi volkano [emoji291] inalipuka milimani kwa sababu nying kama ifuatavyo
1: milimani kuna weakness ya compaction ya ardhi, hii ni kutokana na kwamba milima hiyo ni matikeo ya mkunjamano wa sahani za uso wa dunia zinazosababisha urahisi wa volkano kupenua.
2: milima mingi ambayo [emoji291] hutokea iliundwa kwa aina hiyo hiyo pia so ni sawa tu na kwamba volkano inapasha kiporo.
Nawasilisha......
Akili nyingi. Umetumia maisha ya kawaida kuelezea concept ngumu ngumu.
Safi!
Volcano inatokea popote sema unaona mlima Sababu volcano inajirundika na ku form mlima. Mfano leo ikitokea volcano kilimanjaro utasema imetokea kwenye mlima, ila unasahahu zamani kulikuwa hamna mlima pale Bali volcano ndio imeutengeneza ule mlima. Kabla ya mlima kilimanjaro ku form hio miaka milioni 1 iliopita palikuwa ni bonde la Ufa.Wakuu, naomba tukumbushane ni sababu zipi zinazopelekea milipuko mingi kutokea milimani?
Shukran mkuu kwa elimu hii.Volcano inatokea popote sema unaona mlima Sababu volcano inajirundika na ku form mlima. Mfano leo ikitokea volcano kilimanjaro utasema imetokea kwenye mlima, ila unasahahu zamani kulikuwa hamna mlima pale Bali volcano ndio imeutengeneza ule mlima. Kabla ya mlima kilimanjaro ku form hio miaka milioni 1 iliopita palikuwa ni bonde la Ufa.
Hata baharini volcano ikitokea kuna form mlima ndani ya bahari, na mlima ukiwa mkubwa sana na kutokea juu ya bahari kinakua kisiwa.
![]()
Mfano hicho hapo juu ni kisiwa kipya kimeform 2014 huko Tonga baada ya volcano.
Hivyo mkuu volcano ndio ina tengeneza mlima, unaganda, baada ya muda binadamu wanaishi pale siku ikitokea tena (Sababu ni njia yake) ndio unaona inamwagika toka mlimani.