Inakuwaje mtu mzima kuwa masikini?

Inakuwaje mtu mzima kuwa masikini?

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Aisee hii kitu huwa nakaa najiuliza hivi inakuaje dume Zima umri umeenda ni masikini halafu anajisifia umri umeenda halafu mkewe anakuja kuomba pesa Kwa mtoto mdogo mwenye pesa nyingi kama mimi. Oya nyie tafuteni hela lasivyo wake zenu ni halali yetu sisi watoto wadogo wenye pesa nyingi umasikini hauna tuzo hata siku Moja tafuteni hela
 
Mkuu kwamba na wewe una pesa nyingi siyo!! Huo mwandiko wako ndiyo unanipa shaka.. Oyaa wenye pesa nyingi huwa hawataki kujulikana..
 
Mkuu kwamba na wewe una pesa nyingi siyo!! Huo mwandiko wako ndiyo unanipa shaka.. Oyaa wenye pesa nyingi huwa hawataki kujulikana..
Tafuta hela masikini wewe
 
Mkuu kwamba na wewe una pesa nyingi siyo!! Huo mwandiko wako ndiyo unanipa shaka.. Oyaa wenye pesa nyingi huwa hawataki kujulikana..
Acha ujinga pesa na muandiko wapi na wapi ?
 
Back
Top Bottom