sasa kama " unanuka " na huogi akufurahie tu?
jina lako halifanani na hili jibu,tafadhali badili ujiite mpuuzi.Mleta maada hayo ni mabadiliko ya kawaida kabisa ni sawa na anapochukia chakula fulani
kwani jina langu unalijua? au mwenzetu pengine wewe ni " mchafu koge " hivyo nilichokiandika kimekugusa? ndiyo ujitahidi uwe unaoga sasa.