Inakuwaje mwanamke mwenye mimba kuchukia harufu ya mumewe?

Inakuwaje mwanamke mwenye mimba kuchukia harufu ya mumewe?

mwakwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
789
Reaction score
290
Habari zenu,

Natumai ni wazima, naomba kuwauliza wataalamu au mwenye uzoefu hivi inakuaje mwanamke mwenye mimba kuichukia harufu ya mumewe?
 
Hapo ujue hiyo mimba n yako kabisa! For every action there's equal opposite reaction
 
Ni mabadiliko tu ya kawaida, akijifungua atarudi kawaida.
 
mwakwetu

Sasa kama " unanuka " na huogi akufurahie tu?
 
Last edited by a moderator:
sasa kama " unanuka " na huogi akufurahie tu?

jina lako halifanani na hili jibu,tafadhali badili ujiite mpuuzi.Mleta maada hayo ni mabadiliko ya kawaida kabisa ni sawa na anapochukia chakula fulani
 
jina lako halifanani na hili jibu,tafadhali badili ujiite mpuuzi.Mleta maada hayo ni mabadiliko ya kawaida kabisa ni sawa na anapochukia chakula fulani

kwani jina langu unalijua? au mwenzetu pengine wewe ni " mchafu koge " hivyo nilichokiandika kimekugusa? ndiyo ujitahidi uwe unaoga sasa.
 
Watu wenye mimba wanakua na mabadiliko makubwa sana ya hormones
zingine zinaleta hasira,zingine kula sana
zingine chuki
so ni mpito tu

ila mwee kuna watu wanabeba mimba anakuchukia utadhani kakubebea wewe
 
Hilo si suala la usafi anti ni mabadiliko ya ghafla ndio nikaja kuuliza
 
Back
Top Bottom