Inakuwaje mwanaume una jamba hadharani

Inakuwaje mwanaume una jamba hadharani

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari zenu wakuu

Kuna jambo moja huwa, nashangaa sana. Kama sio kutaamaki.

Hii imetokea mara kibao tu na jambo la kunishangaza ni kwa wanaumee.

Unakutaa umekaa fresh mnapiga story mbili tatu mara unasikia praaaaaaaaaaa "nini" jamaa kaa jamba kwa nguvu halafu ana zugaa kama sio yeye.

Kama hana habarii.

Kuna siku nimekaa na jamaa mmoja tuna piga story mbili tatu mara nashangaa praaaaaa nika kaushaaa mara ya pili tena mara ya 3 nika muuliza, mjomba ina maana hutuoni mzee au makusudi.

Mara ya mwisho tena, nikaona huu ujingaa nika sepa.

Na anazugaa kama hajafanya chochote.

Ni kamq mara ya 3 tokea niko huku dar.

Swali ina maana huwezi kujizuia au??

Hata kama ni starehe kwanguvu halafu kila mara. Hapana bwana nina shaka na wewe

Wawili tu bado una praaaaaaaaaa pyuuuuuuuu siiíiiíiíiiii.

WANAO TETEA NINA WASI WASI NAO
 
Je wanaokula "Mayai Ya Kuchemsha & Kiporo Cha Maharage" kwenye mwendo kasi au daladala wanavoachia makombora na kutesa abiria wenzake.
 
Miaka yetu tulifundishwa kupunguza ukali wa maneno. Tungetumia kwa mfano, kupumua, kupunguza/kutoa gas, etc

Pia kuna kupumua hadharani na kupumua kwa sauti. Kupumua ni moja ya hitaji la msingi la mwili, so, ikifikia hatua unataka kupumua, please usiunyime mwili haki ya msingi. Cha kuzingatia, kama uko hadharani, basi pumua kwa namna ambayo itapelekea least effects kwa wanaokuzunguka.
 
Habari zenu wakuu

Kuna jambo moja huwa, nashangaa sana. Kama sio kutaamaki.

Hii imetokea mara kibao tu na jambo la kunishangaza ni kwa wanaumee.

Unakutaa umekaa fresh mnapiga story mbili tatu mara unasikia praaaaaaaaaaa "nini" jamaa kaa jamba kwa nguvu halafu ana zugaa kama sio yeye.

Kama hana habarii.

Kuna siku nimekaa na jamaa mmoja tuna piga story mbili tatu mara nashangaa praaaaaa nika kaushaaa mara ya pili tena mara ya 3 nika muuliza, mjomba ina maana hutuoni mzee au makusudi.

Mara ya mwisho tena, nikaona huu ujingaa nika sepa.

Na anazugaa kama hajafanya chochote.

Ni kamq mara ya 3 tokea niko huku dar.

Swali ina maana huwezi kujizuia au??
Marinda babu
 
nilikua mwanza..nilichokishuhudia huko ni balaa..wale watu sijui wanakulaga vitu gani mpaka wanaachia mabomu yananuka kiasi kile asee!
 
Idiom be uwe unapungua uzito, baada ya fat conversion unakuja ushuzi. Raha uwe mwenyewe
 
Kujamba si jambo baya ila "stara'' ni muhimu aseew....

Bira ujambe kwa sauti lakini usiharibu hali ya hewa aseee

Lakini yote kwa yote, kujamba ovyo na hadharani ni mazoea, ukieza kujamba ukiwa na washikaji kijiweni hutoweza shindwa ukiwa na familia yako....
 
Tupe tips mkuu....
Miaka yetu tulifundishwa kupunguza ukali wa maneno. Tungetumia kwa mfano, kupumua, kupunguza/kutoa gas, etc

Pia kuna kupumua hadharani na kupumua kwa sauti. Kupumua ni moja ya hitaji la msingi la mwili, so, ikifikia hatua unataka kupumua, please usiunyime mwili haki ya msingi. Cha kuzingatia, kama uko hadharani, basi pumua kwa namna ambayo itapelekea least effects kwa wanaokuzunguka.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom