Inakuwaje mwanaume unasikiliza taarabu?

Inakuwaje mwanaume unasikiliza taarabu?

Rejea kwenye utangulizi wa mada yako pale umeshangazwa na mwanaume kusikiliza muziki wa taarabu!
Hili la mipasho labda liwe kwenye mengineyo!
Mambo ya mipasho sasa hayo inategemea na mapokeo.
Miziki ya zamani ya kina mzee Issa Matona , Shakira n.k wala haikuwaga sana na hayo mambo ya mipasho n.k!
Binafsi mfano namkubali sana Bi Sabaha Salum Muchacho kwa kuwa anakuwa na utulivu flani ktk kuimba ,
Kimsingi huyu madam ndiye aliyepaswa kuwa malkia wa nyimbo za taarabu nchini kuliko hiyo anaetajwa kwa muda mrefu!
Kopa nyimbo zake zina makelele na mipasho mipasho tuuu binafsi sijui hata kwa vipi anajiita malkia!
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo maana nikasemaje mkuu kuna mama apa nilipo muuliza hii kitu kanichana kasema taharab zilikuwa zaman not now lakini zilikuwa sio za kuchmbana kanitolea mfano kama nyimbo moja ivi ianaitwa njiwa peleka salam haina mipasho asa ile ndo nyimbo yenye maadili sio za sasa asa inakuje mwanaume anaskiliza mipasho??
 
Nimejaribu kukupata point yako sasa mkuu, kumbe wewe kilichokua kinakushtua ni kusikiliza mipasho ya taarabu
ndio mkuu japo sio mpenz wa iyo kitu maana taharab imebeba aina iyo ya maneno na ndo ,maana uzi wangu sikusema mipasho maana ukisema taharab tayali ndan kuna iyo kitu
 
ndio mkuu japo sio mpenz wa iyo kitu maana taharab imebeba aina iyo ya maneno na ndo ,maana uzi wangu sikusema mipasho maana ukisema taharab tayali ndan kuna iyo kitu
Sawa mkuu lakini bado sioni kama kuna shida sana kusikiliza, mimi nahisi tatizo la hii kitu nivile waimbaji wake wengi ni wanawake pia ata aina ya uchezaji wake sio mzuri ila unawapendeza wanawake ila kwa watoto wa kiume ukicheza obvious utaonekana shoga tu....

Ila kuhusu maneno ya vijembe na kejeli hayo yapo sana ata kwenye miziki mingine tena kama Hip-hop ndio usiseme...
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽

Hizi hadithi za mwanaume hiki mwanaume vile ni hadithi za watu wenye mashaka na jinsia yao.

Ukiona mtu anakuwa na wasiwasi sana na vitendo ambavyo anahisi vinamshusha uanaume wake ujue hata jinsia yake iko kwenye hati hati!! Kama hajawahi kufirwa basi anafira wengine au alifirwa akiwa mtoto.

Halafu watu wanatengeneza pesa kupitia kuimba taarabu na kupitia kupata mashabiki wanaosikiliza taarabu! Kulikuwa na yule baba anaitwa mzee Yusuph, alikuwa anatengeneza milioni za shilingi kupitia muziki wa taarabu.

Wewe uko kwa shemeji yako hapo unajamba na kuning'iniza makende machafu tu huna kazi wala dira umechutama kwenye TEKINO yako 'unachamba' watu.

Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........
 
Niandhani mtoa mada haupo makini. Mziki ni kazi ya sanaa, na sanaa hubebwa na mengi. Kuna mtu anaweza sikiliza mziki X, lakini hata kilichoongelewa hana mpango nacho. Mimi nipo kundi hili. Unakuta ninasikiliza miziki ya Kiingereza lakini wala sielewi wamesema nini, mimi ile midundo na sauti burdani. Au ile lugha ya Kijamaika (Patois ) , mpaka umuelewe Busy Signal au Fantah Mojah si jambo rahisi, lakini kutwa nzima naweza sikiliza ngoma zao. Usisahau jinsi wabongo wengi ni mashabiki wa Bolingo, waulize wangapi wanaelewa kinachosemwa.

Hivyo, ndugu yangu ongeza wigo wa kufikiri.
 
Write your reply...nyie mnaotetea upande wa taaharab mnazungumzia za zamani zenye mafunzo na kufurahisha enzi hizoo swali kwenu hivi mnajua taarabu za sku hizii zikoje? maudhui yake? uwasilishwaji wake? ni aibu Sana mtoto wa kiume kusikiliza
 
"aso mtu ana mungu " hii taarabu naipenda sana nasikilizaga siku nikiwa beach.
 
Kwenye taarab kuna maneno ya kiswahili ambayo huwa ni kama stress relieve...kama hutaki kata rufaa.[emoji849][emoji849][emoji849]

ᴵᶠ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ʷᵃˢ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ̇ ⁻ ⁱᵗ ʷᵒᵘˡᵈ ᵇᵉ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Back
Top Bottom