Inakuwaje mzazi analalamikia michango midogo kuboresha huduma kwa mwanaye shuleni?

Asante sana na huu uzi ni kwa ajili ya stabilityman na Mzee makoti
 
Hapo umenena,hakika kuna watu hawana uchungu na watoto wao,ila ni mabingwa wa kuhonga,kunywa pombe sana na kuchangia sherehe.Hata shule za Private haya mambo yapo,ila ni vyema tukaangalia hawa waalimu nao ni watu na wanastahili pia kula vizuri na kunywa pombe kama nyie,ualimu sio utumwa.ifike mahali tuheshimu kazi za wenzetu jamani.
 
Jama shule inq wanafunzi 1000 × 300 = 300,000 kwa mwezi kumpa mlinzi au mfanya usafi ni sawa tu


Ulinzi una jumla ya vitu vingi Sio mlinzi tu.
Sisi hapa kitaa shule yetu walinzi ni wawili na wanalipwa 180,000 per head.

Pia nakumbuka nilienda last year KAMANDA Wang aliniomba twende na Mimi badala ya mama ake as wenzie walisema watakuja na baba zao pia,

so nilienda nikaskia Kuna issues Kama tochi na makufuri vinatajwa kwenye gharama za ulinzi.
japo wazazi hatukia weng ila Kuna Mambo kadhaa tuliafikiana kwa niaba ya wote .

Na pia watoto tuliambiwa wapo 700 na ushenzi Ila haijawah tokea mchango wowote isipokua sherehe na mitihani wakatoa watoto zaidi ya nusu.

Yani hata mitihani Kuna wazazi huwa hawachangii, hata sherehe au chakula Cha mchana kile Cha watoto wote Kuna wazazi hawatoi na hawatoi hata waitwe... Nilijiskia vibaya Sana.
 


Yani hela unayo msaidia mwanao unaihusisha na kutajirisha watu wengine mkuu ... Mbunye inakufaa nini kiongozi ???

Yan watoto nabunye Bora mbunye Sio ??



Watoto unaipa serikali ileje Ila mbunye zote unataka upige wewe ?
 
Reactions: Tui
wanataka posho wale wao tu ila walimu wasubiri mishahara mxiiiiiuuuu zao
 


Kiongozi ivi elim yote hiyo nimekula inamana hujaelewa kitu ????

Mwanao huwa anakua wa ngapi darasani ??

Nimekwambia Sio walim huchangisha Ila ni wazazi Sasa wewe ikiwa unaona ni surprise inamanisha huwa huend kwenye vikao .
🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🙏.

Naomba wanao wachukue akili kwa mama yao wakichukua zao bass wamekwisha.
 


Yan 300 Kama 300 ya kitanzania. Sio ??
 
Reactions: Tui
Wajukuu wangu kufundishwa na mwalimu kama wewe lazima waje kuwa failure kama mwalimu wao ulivyo.
Yaani hata kuandika huwezi!!???
 
Wajukuu wangu kufundishwa na mwalimu kama wewe lazima waje kuwa failure kama mwalimu wao ulivyo.
Yaani hata kuandika huwezi!!???


Umekaa vibaya wewe eti ??.

Mwalimu wa Nyko yupo kalala saiv SA MBILI ahsubuh Huku ana chat JF ?? u Kuna darasa hapa JF ?

Af wajukuu zako wasiwe failure kwani akili watachukua wapi kwa bibi yao mbaye kushindwa hta kuchagua bwana kaja kaangukia kwa ***** kama wewe.

Au kwa wakwe na wakamwana zako ambao na wao wamekosa familia za kupata wenza wakaja kwenye familia yenye utindio wa ubongo Kama yako ??
 
Wajukuu wangu kufundishwa na mwalimu kama wewe lazima waje kuwa failure kama mwalimu wao ulivyo.
Yaani hata kuandika huwezi!!???


Mshamba wa picha ... UMEKAA VIBAYA ndo Mana unaumia hoja laini kabisa zinavopenya . Au labda hujawah kupenyezewa vitu vyenye akili Leo ndo tumekata utepe Sio ??

Bakia ulipo utazoea tu.
 
Ule uzi sijaufungua sababu roho wa Mungu kaniambia nikiufungua nitalaaniwa.... Haiwezekani baba unalalamika mwanao kutozwa 300 shuleni.
 
Mshamba wa picha ... UMEKAA VIBAYA ndo Mana unaumia hoja laini kabisa zinavopenya . Au labda hujawah kupenyezewa vitu vyenye akili Leo ndo tumekata utepe Sio ??

Bakia ulipo utazoea tu.
Jifunze kuandika vizuri na kupangilia aya mwalimu.
Ukiwa na hoja ukaandika kama ulivyoandika uzi wako, utaonekana unahorojoka.
 
Ule sijaufungua sababu roho wa Mungu kaniambia nikiufungua nitalaaniwa.... Haiwezekani baba unalalamika mwanao kutozwa 300 shuleni.


Dah. Yan Leo madogo walipojiandaa nimewaita nikawaambia ikiwa Kuna mchango shule wawe wanahakikisha wananambia upesi . Wasimwambie mama yao. ...

Nimehof mama yao asijekuwa na akili za kulalama akawafundisha ujinga
 
Sema walimu wanapata hela nyie hamjui tu.

Hebu ona darasa la Saba Lina wanafunzi 600 kila mtoto anaambiwa lete 1500 ya mtihani, siku hiyohiyo anaambiwa aende na 300 ya tuition.

1500*600 =
300*600=
Hao ni darasa la Saba.

Darasa la sita wanafunzi 700 nao wameambiwa waende na 1500 ya mtihani na 300 ya tuition
1500*700=
300*700 =

Bado darasa la nne hapo.
 
Jifunze kuandika vizuri na kupangilia aya mwalimu.
Ukiwa na hoja ukaandika kama ulivyoandika uzi wako, utaonekana unahorojoka.

Thanks . Hapo nimekuelewa.
PUNGUZA jazba na rekebisha lugha mjomba...

wengine tunshinda vijiwen. Nikianza kukutukana hapa naweza nikakufanya ujione umelaaniwa.
 
Achana nao hao....

Wameshaambiwa elimu bure, basi wao wanaona elimu ya watoto wao sio jukumu lao tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…