Inakuwaje mzazi analalamikia michango midogo kuboresha huduma kwa mwanaye shuleni?

Inakuwaje mzazi analalamikia michango midogo kuboresha huduma kwa mwanaye shuleni?

Hao ndio wale wazazi ambao wanashirikiana na serikali ya ccm kuwaanda watoto wao kuwa wapiga kura

Yani wanawandaa watoto wao kuwa mtaji na daraja la wanasiasa
 
Si ndo hao.
Wakienda hospital, Mgonjwa wao akafa, Wanaanza kugombana na madaktari, kuwatuhumu wana roho mbaya.

Wakati inajulikana kua ndo sera ya wizara ya Afya
 
Kiongozi ivi elim yote hiyo nimekula inamana hujaelewa kitu ????

Mwanao huwa anakua wa ngapi darasani ??

Nimekwambia Sio walim huchangisha Ila ni wazazi Sasa wewe ikiwa unaona ni surprise inamanisha huwa huend kwenye vikao .
🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏🙏.

Naomba wanao wachukue akili kwa mama yao wakichukua zao bass wamekwisha.
Nawajua walimu vizuri kuliko unavyodhani.

Tupo nao mtaani wamejaa dhiki kupindukia na huwa wanasema wazi kwamba ualimu usipojiongeza kwa michango ya mchongo kwa wazazi utaacha kazi mapema sana.

Mwanangu hasomi shule hizo ila kwa nature ya kazi yangu napaswa kufahamu changamoto mbalimbali kwenye maeneo mbalimbali.
 
WEWE UWE UNAKULA TU MBUNYE ALAF WATOTO WAKO WALELEWE KWA HELA ZA KUBABATIZA ZA RUZUKU YA SERIKALI SIO ??

Uchoko wa wa tz unamizizi mikali Sana walahi nawaambia.

Nimekutna na nyuzi mbili mfululizo zinatuhumu walim kwa kutoza michango ili kujipatia kipato nikasitikika Sana as walim huwa hawahusiki na michango hiyo Bali ni vikao vya wazazi huamua Mara baada ya kutathmini namna ruzuku toka serikalini inavokuwa haitosh kulingana na mahitaji ya shule yao binafsi Kama wazazi wa watoto wa shule husika.

Yan hakuna mia inatozwa na shule bila kikao Cha wazazi, Ila mzazi haendi kwenye vikao anakuja kulalama JF as hajui kuwa hela husika zinatozwa na wazazi na si walimu.

Hakuna mia inashikwa na mwalim Bali ni kamati teule ambapo ndani yake huwa na walim kadhaa ambao hupokea hela kwa niaba na Kisha humkabidhi mtunza hazina pamoja na majina ya walio changia.

Na mtunza hazina si mwalimu bali huwa ni mzazi moja wapo alochaguliaa kwenye vikao vya wazazi...

Ila mzazi mmoja wapo wa wazazi mbao ni wajumbe wa kamati ya shule kisheria yupo JF analalamika as hamjui mwenyekiti, mtunza hazina Wala Katibu wa kamati ya wazazi anaposoma mwanae.

(Na usisahau kuwa na yeye ni sehemu ya kamati husika, Yan yeye ni sehem ya maamuzi ambayo mkuu wa shule hupewa ayatize na walim wake)

Na huyu mtu unakuta ni mtu mzima na sometimez ni msomi Ila hajui hata muundo wa uongozi wa shule

Yan msomi mkubwa hajui uongozi wa shule umekaaje (topic ya darasa la tatu ambapo nakumbuka myaka 25 ilopita tulichora na mchoro wake ikionyesha from the top to the bottom na pale to yupo mkuu wa shule na kamati ya wazazi ambao ndo Kama maboss wa shule)
# kimsingi mtu msomi anapaswa kujua kuwa shule husimamiwa na kamati ya wazazi ambao ndiyo huamua Mambo yote hayo... Ikisema no ni no, ikisema yess ni yess.


TZ NCHI NGUMU SANA WAZEE. na bado mtu ana vocha za kuingilia social media kuchek pisi zikirusha rusha makalio Ila kutoa 400 ya usafi shuleni kwa mwanae per month inamuuma. Hela ambayo imeamliwa na wazazi wenyewe na si walim.

400 imnunulie sabuni, inunue madekio ndoo na Kila kifaa,
400 ilipie bill ya maji
400 imlipe dada wa kudeki nadarasa na vyoo.
400 ioshe vyombo anavyonywea uji na vinavyopikwa
400 ifyeke uwanja wa michezo anapo cheza.
400 itumike kununua ndoo za kunawia vyooni.

Yaan mtu yupo radhi KUHONGA pisi 100,000 kwa mwezi Ila kuboresha mazingira ya watoto wake kusoma kwa 5000 kwa mwaka mzima inamuuma Sana... Kwa kigezo kuwa kwa pisi anapewa mbunye Ila kwa mtoto ake hapewi mbunye.

USHAURI:
Ikiwa michango inakuudhi nenda kwenye vikao vya wazazi kashauriane na wazazi wenzio kuwa wewe hutaki kutoa michango na kimsingí huwa ukisema wewe hutachangia hawakulazimiahi kamwe ,

Wazazi hukubaliana ujenzi wa nadarasa, vyoo , sherehe za kuhitim watoto na mengine mengi Hadi tuition (Yan program za ziada) alaf huwa wanakubaliana kwa kupiga kura . Na kule hakuna kuiba kura as mchakato ni wa wazi kabisa.

Nataka wote mtaosoma huu uzi muelewe kua hakuna mwalim mwenye mamlaka ya kutoza na huwa walim hawatozi chochote bali kwa maagizo ya vikao vya maboss zao ambao ni kamati ya wazazi, na hela hurudishwa kwa kamati husika ambayo hufanya matumizi na kuirudisha mrejesho kwenye vikao Huku ikiwekwa bayana watoto wasio changia na waliochangia ni wangapi na wazazi WSIO changia hutafutwa na mwalim mteule kwa maagizo ya kamati husika.

KUHUSU SWALA LA ELIM BURE:

Swala la serikali kushindwa kuhudumua shule at 100 percent ni swala linalotokana na umaskini wa jumla wa kiuchumi lakini pia niseme Kuna umaskkini Sana pia wa kifikra ambao unachangiwa na watu kama wewe mzazi ambae upo radhi uipe pisi 10,000 ya kusukia Ila Sio umnunulie MWANAO kitab Cha 3,500

Wazazi wa tajiriba yako wanaoabudu mbunye ndo hugombea uongozi na ndo hivyo akili zimekaa zimerundikana Kama matope badala ya kuwa wabunifu kitika Mambo ya msingi wao hupeleka ubunifu kwenye upumbavu.

Viongozi wanabuni ideas za kutumia magari ya kifahari kwenye misafala, na gali moja Kati ya magari kumi ya halmashauri lingeweza kuachwa kununuliwa then likatibu tatizo la Vita at 100 percent Ila ndo ivo Viongozi kabla ya kuwa Viongozi walikuwa wababa wapumbav Kama wewe usiyetaka kulea watoto vizuri

SWALI:
Ivi hata kununua kitabu Cha kujisimea MWANAO hujawahi,

Wala ununue CD Kila mwezi au flash zenye content za akili hujawahi.

Mtu Unahonga vimada, Unakunywa soda, Unakunywa bia na matumizi mengine chungu mzima Ila kutoa walau 5000 ili ku boresha mazingira ya mwanaO hapana.

UNAKUA UNA AKILI KWELI ??

Mbunye tam Sana kuliko kuhudumia dam yako Sio. ??
Mbona unawalaumu wanaume kuhonga ama ni wewe unahonga unajua ni wote wahongao.
Mbona hulaumu jogoo kumpa chakula mtetea chakula na ilhali yeye anajinyima. Don't blame men kwa kuhonga Bali laumu NATURE ilivyowaumba.
Pia mie nachukia mno michango shuleni huwa naona ni walimu wanashida zao, wewe fanya hapo hapo serikali ilipokupangia. Nimesoma Ila nachukia michngo since nasoma. Nikuambie nilikataaga kununua tisheti ya shule advance, Haina quality Halafu shilingi alfu nne.
Nimeenda advance nilikaa kimya sikuenda kurepoti Ila class naingia later nikaenda nikalipia ada pekee Ila michango nikakwepa.
Walimu wanapenda mno michango ya wazazi mara ream paper. Mie nawashaurini fugeni hata kuku kujiongezea kipato ,limeni jamani sio kulazimisha twisheni, mie nimesoma iyo twisheni kwa mwalimu sijasoma na nilikuwa nawazidi wale anaowafunisha twisheni, mwalimu analizimisha watt hakuna kutoka mpaka wanunue barafu zake sijui visheti vyake.
Mie hata nikihonga unaumiaje mkuu?? You ain't entitled to care or to tell me how to care my children. Kwani wewe watakuja kuwa wanakusumbua ukubwani wakipigika Maishani.
Unajifanya Kama unawapenda wanangu wakati unataka ama unasukuma vimichango vyako ambavyo mnakuta mmeshapangana na baadhi ya wazazi ambao mtakula nao hela za watu.
Usafi Gani acheni watt wafanye usafi wenyewe.
Yaani Kila darasa Lina tisheti yake mpaka Kuna siku ya tisheti si mtoe iyo shati nyeupe Sasa Jamani.
Mnakataa huu sio mradi wenu. Kwani mtt akija kusoma na shati jeupe anapungua nini ama ni tisheti ndizo zinazosoma. Oneni aibu na njaa zenu. Nimetoka kuhonga hapa 20k Ila nikiambiwa 200 ya shuleni nakuambia namaindije Mana naona iyo hela yangu inaenda bure.
Kikwete alitangazaga hakuna michango tulipe ada wa boarding Ila wa day wasome bure bado walimu wakawa wanachangisha michango mara fyekeo, mifagio wanachukua wanaenda kuuza kwani hatuijui.


Na wewe chukia kuwa mwalimu usichukie watu kuhonga,yaani tunahonga ,
 
Back
Top Bottom