Inakuwaje mzazi analalamikia michango midogo kuboresha huduma kwa mwanaye shuleni?



Mimi KAMANDA wangu akiomba hela ya shule nahakikisha namzidishia n nyingine ikiwa ipo. Na Mdogo ake nae kaanza shule this year.

Wakiomba mchango binafsi huwa natoa bila kinyongo as ni wanangu sihesab mwalim anapata Nini Ila naangalia KAMANDA anapata Nini.

Na akifanya vibaya huwa naenda kwa walim and huwa wananiskiza na kunisaidia kiroho Safi.
 
Uko sahihi kuna shida sana ya matumizi ya akili kwa watanzania tulio wengi, wazazi wengu ni irresponsible na hili limeanzia chini sana kwenye malezi yetu mtoto mpaka anafika miaka tisa hata kuosha vyombo hawezi, kufua nguo zake hawezi.. mimi nasema mtoto ambaye hawezi, hataki au wazazi hawajamzoeza kufanya kazi za nyumbani ni dalili kuwa huyu mtoto hataweza kuwajibika na majukumu yake ukubwani.
 
Kwa hiyo walimu wanapata hela nyingi kuliko hao wanasiasa wenu kwenye ubunge na udiwani?
 
Ni shule ipi unayoijua darasa 1 lina wanafunzi 600?
 


Duh. Kumbe hizi Mambo hazianzi kwa bahat mbaya.
 
Ndugu yangu walimu mmekuwa to much sana ususani hapa mjin dar hata bila vikao vya wazazi na hamjui kuwa wazazi nao wanahari mbaya sana ya kimaisha.kwa mfano shulen mwanangu anakisome mwez I wa nne tumetoka elfu moja kwajir ya mtihan ya kufungia shule,baada ya shule kufunguliwa tena nikasikia wanahutaji elfu moja tena ya mtihani wa mwisho wa mwezi,na sasaiv tena mwanangu unaniambia wanataka mia tano kwajir ya report ya mwzi wa sita.
 
Hizo hela zinaliwa na walimu. Ushahidi upo
 


Watoto kwa Kila darasa ni ngum kufikia namba unazozitaja .

Maybe sekondari za mashule makubwa ya kigonsela, Songea boys , tosa ,meta, sangu, IYUNGA boys. Na penyewe ni labda.
 


Kama walim wapo hapa wataona ujumbe wako.
 
Duh!...,yaani hizo buku buku kwa ajili ya mitihani ya mwanao nayo kwako ni mzigo ?
 
Tuwe tunafuatilia kinachoendelea Burkina Faso! Traore amesema kuanzia sasa Elimu itatolewa BURE kuanzia Chekechekea mpaka Chuo Kikuu.
Ana uchungu na wananchi wake,hela yote inatumika kwa ajili ya maendeleo ya wananchi.
Mkuu huku kwetu kuna nini?
Huku tuna Mchawi ambaye hana uchungu wala huruma na wananchi wake!
Kuna pesa ya kuhonga Maaskofu na Mashehe,ana pesa za bure za kununua magoli ya Simba na Yanga!
CAG amebainisha madudu,matumizi holela ya Mabilioni,Hasara zisizo na mfano na hakuna anayewajibika!
Vipi hayo Mabilioni ya fedha yasingetumika kusomesha watoto bure bila kuchangisha michango kutoka kwa wazazi?
 
Wakilipwa vizuri ndio itapatikana pesa ya usafi?Hiyo michango inaamuliwa na waalimu au kamati ya wazazi?


Yan umenena kweli mze. .

Sasa mshahara wa mwalim ndo utamlipa mpika uji , mpika chakula Cha mchana Cha watoto, mlinzi, na dada wa usafi ??

issac77 unashida gan na walim mkuu ?
 
Hii nchi imezidi ubahili wa kipumbavu ndugu zangu,mtu anatoa hela ya sherehe na sio mtihani wala ulinzi.Tuwaombee waalimu uvumilivu pia niombe sana wasiruhusiwe kuwa na silaha maana wanaweza kujikuta wanua bila kukusudia.Vitu vingine vinatia aibu na hasira
 


We Jama. Hela zako ulie mbunye af mwanao asomeshwe na Samia ndo mzazi Mwenzio yule ??

Yan me huwa nawish KAMANDA Wang angesoma binafsi nimtoe hata kwenye vishule vyao hivyo... Ila sema bas tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…