Inakuwaje mzazi analalamikia michango midogo kuboresha huduma kwa mwanaye shuleni?

Hao ndio wale wazazi ambao wanashirikiana na serikali ya ccm kuwaanda watoto wao kuwa wapiga kura

Yani wanawandaa watoto wao kuwa mtaji na daraja la wanasiasa
 
Si ndo hao.
Wakienda hospital, Mgonjwa wao akafa, Wanaanza kugombana na madaktari, kuwatuhumu wana roho mbaya.

Wakati inajulikana kua ndo sera ya wizara ya Afya
 
Nawajua walimu vizuri kuliko unavyodhani.

Tupo nao mtaani wamejaa dhiki kupindukia na huwa wanasema wazi kwamba ualimu usipojiongeza kwa michango ya mchongo kwa wazazi utaacha kazi mapema sana.

Mwanangu hasomi shule hizo ila kwa nature ya kazi yangu napaswa kufahamu changamoto mbalimbali kwenye maeneo mbalimbali.
 
Mbona unawalaumu wanaume kuhonga ama ni wewe unahonga unajua ni wote wahongao.
Mbona hulaumu jogoo kumpa chakula mtetea chakula na ilhali yeye anajinyima. Don't blame men kwa kuhonga Bali laumu NATURE ilivyowaumba.
Pia mie nachukia mno michango shuleni huwa naona ni walimu wanashida zao, wewe fanya hapo hapo serikali ilipokupangia. Nimesoma Ila nachukia michngo since nasoma. Nikuambie nilikataaga kununua tisheti ya shule advance, Haina quality Halafu shilingi alfu nne.
Nimeenda advance nilikaa kimya sikuenda kurepoti Ila class naingia later nikaenda nikalipia ada pekee Ila michango nikakwepa.
Walimu wanapenda mno michango ya wazazi mara ream paper. Mie nawashaurini fugeni hata kuku kujiongezea kipato ,limeni jamani sio kulazimisha twisheni, mie nimesoma iyo twisheni kwa mwalimu sijasoma na nilikuwa nawazidi wale anaowafunisha twisheni, mwalimu analizimisha watt hakuna kutoka mpaka wanunue barafu zake sijui visheti vyake.
Mie hata nikihonga unaumiaje mkuu?? You ain't entitled to care or to tell me how to care my children. Kwani wewe watakuja kuwa wanakusumbua ukubwani wakipigika Maishani.
Unajifanya Kama unawapenda wanangu wakati unataka ama unasukuma vimichango vyako ambavyo mnakuta mmeshapangana na baadhi ya wazazi ambao mtakula nao hela za watu.
Usafi Gani acheni watt wafanye usafi wenyewe.
Yaani Kila darasa Lina tisheti yake mpaka Kuna siku ya tisheti si mtoe iyo shati nyeupe Sasa Jamani.
Mnakataa huu sio mradi wenu. Kwani mtt akija kusoma na shati jeupe anapungua nini ama ni tisheti ndizo zinazosoma. Oneni aibu na njaa zenu. Nimetoka kuhonga hapa 20k Ila nikiambiwa 200 ya shuleni nakuambia namaindije Mana naona iyo hela yangu inaenda bure.
Kikwete alitangazaga hakuna michango tulipe ada wa boarding Ila wa day wasome bure bado walimu wakawa wanachangisha michango mara fyekeo, mifagio wanachukua wanaenda kuuza kwani hatuijui.


Na wewe chukia kuwa mwalimu usichukie watu kuhonga,yaani tunahonga ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…