Inakuwaje na wakati nina kadi ya bima

Inakuwaje na wakati nina kadi ya bima

Chebyshev

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
31
Reaction score
23
Habari zenu wana JF
mm nmechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dar es salaam. Lakin kwenye DIRECT COST zao kuna fedha ya matibabu, sasa inakuwaje na wakati mimi ninatumia bima ya afya na mzee wangu anatozwa fedha nyingi kwenye hyo bima???
 
Nenda kamweleze dean of students atakupa majibu sahihi.
 
Hata mwenyewe ningependa kujua,maana hata mie natumia bima.
 
Ni kama mratibu, mshauri na msimamizi wa masuala mbalimbali ya wanafunzi.
 
Inabid utoe coz kuna accident mbalimbali au unaweza kuugua gafla ataukashindwa kuonyesha bima yako and then hata usafir wa kukupeleka hospital co itabid utoe kama tahadhar
 
Back
Top Bottom