Stress labda wewe ambae unamsifia Ommy miaka ya leo[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna anachofanya kwa sasa.. Labda enzi za nai nai kidogouna onekana una stress na maisha bro!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ongeza sautiiii aseee.... Eti Kanyaga ukimuuliza Kuna ujumbe gani hatokujibu, Inama sijui pochi Nene .... Hiyo ni miziki ya kubanjuka tu huwezi kuisikiliza dunia ingine...
Tatizo lenu mnaongozwa na Chuki,ila hamna nyimbo inayongoza kufanya vizuri kwa mwaka huu kama Tetema kwenye sportfy (huu mtandao unalipia kustream audio)Huo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blue
Mkuu huyo jamaa ana mapenzi ya dhati hadi anaajitoa fahamuUnazingua Mzee ebu ReView Ngoma zata Ommy, urudi hapa ufute Kauli yako
Mkuu huyo jamaa ana mapenzi ya dhati hadi anaajitoa fahamuUnazingua Mzee ebu ReView Ngoma zata Ommy, urudi hapa ufute Kauli yako
Ongeza sautiii[emoji350][emoji344]Huo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blue
Tatizo lenu mnaongozwa na Chuki,ila hamna nyimbo inayongoza kufanya vizuri kwa mwaka huu kama Tetema kwenye sportfy (huu mtandao unalipia kustream audio)
Tetema imesikilizwa zaidi ya mara milion 1,Trace katika chart za nyimbo bora za Africa imekaa namba 1 kwa mda wa wiki tatu.Hivi unazani Itunes itakuwa imeuza copy ngapi,Youtube huko je? Hujagusa Boomplay ? Hujaingia Shazam huko? Eti ngoma haijafanya vizuri .Rayvanny kaitwa kwenye tamasha la Essence Festival US (linajumuisha akina Mary J bridge,Timberland,Pharell nk) sababu ya Tetema,kaitwa kupiga show Ureno sababu ya hii nyimbo,usione WCB wajinga kuifanyia RMX.
Hivi unazani 1m streams sawa sawa na shiling ngapi za kibongo na wanalipa kwa dollar na hiyo record ndani ya miezi 2,je mpaka sasa itakuwa imesikilizwa mara ngapi?
View attachment 1190598
View attachment 1190600
Kazi kwelikweli....Ukitaka maudhui kasikilize Tenzi au kaswida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089] Na zilipendwa kidogo
Kazi kwelikweli....Ukitaka maudhui kasikilize Tenzi au kaswida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089] Na zilipendwa kidogo
Rayvann anawatetemesha vijana...!! Kijana anatunga yule si mchezo...[emoji23][emoji23]Kazi kwelikweli....
Sasa diamond kuanzia Inama..One i love mpaka tetema jumlisha na Kwangwaru ipi mbovu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WCB chama kubwa sana namuonea Huruma Harmonize maana atakufa kimziki kifo kibaya sana...afadhali Rich mavoko...Humu jf kuna watu wako tayali kufa wakitetea wcb, hata wakitoa nyimbo mbovu vipi itatetewa humu na plus promo za wasafi mpk basi
Tatzo ni je, mbn hyo ngoma haiko kwenye category za Afrimma? au huelew nikuulize kwa kizaramo?Tatizo lenu mnaongozwa na Chuki,ila hamna nyimbo inayongoza kufanya vizuri kwa mwaka huu kama Tetema kwenye sportfy (huu mtandao unalipia kustream audio)
Tetema imesikilizwa zaidi ya mara milion 1,Trace katika chart za nyimbo bora za Africa imekaa namba 1 kwa mda wa wiki tatu.Hivi unazani Itunes itakuwa imeuza copy ngapi,Youtube huko je? Hujagusa Boomplay ? Hujaingia Shazam huko? Eti ngoma haijafanya vizuri .Rayvanny kaitwa kwenye tamasha la Essence Festival US (linajumuisha akina Mary J bridge,Timberland,Pharell nk) sababu ya Tetema,kaitwa kupiga show Ureno sababu ya hii nyimbo,usione WCB wajinga kuifanyia RMX.
Hivi unazani 1m streams sawa sawa na shiling ngapi za kibongo na wanalipa kwa dollar na hiyo record ndani ya miezi 2,je mpaka sasa itakuwa imesikilizwa mara ngapi?
View attachment 1190598
View attachment 1190600
Wanasahau mondi nae alitolewa Tandale huko na Jasiri muongoza njia akamuongoza ..alipojiweza akijitoa akaanzisha wasafi... Leo Harmonize anafanya vivyohivyo wanaanza kampeni ya kumuunfollow ...halafu utakuta huyo shabiki mwenye hiyo michuki anamiliki chumba kimoja Cha kupanga akiamka tu MALI ZAKE ZOTE ANAZIONA.Humu jf kuna watu wako tayali kufa wakitetea wcb, hata wakitoa nyimbo mbovu vipi itatetewa humu na plus promo za wasafi mpk basi
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Tetema huelewi nini???Mleta mada naona unachuki na ommy dimpoz coz ommy ni mwanamziki mzuri kuliko hao uliowasema.
nyimbo za omy zinaeleweka na si za hao unaowasema.
Nimemuuliza aliyesema Tetema ngoma mbovu,Slowly .Kuhusu ngoma kutokuwa kwenye tuzo sijui wametumia criteria gani ila tukisema tukusanye takwimu hamna nyimbo iliyotoka Africa mashariki mwaka huu ikafikia record ya Tetema katika digital platforms haipo,labda hii INAMA mpaka sasa nayo ktk chart za trace za nyimbo za Africa imekamata namba 1 mara tatu.Tatzo ni je, mbn hyo ngoma haiko kwenye category za Afrimma? au huelew nikuulize kwa kizaramo?
Tetema ndo nini kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Tetema huelewi nini???