Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

Huo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blue
Tatizo lenu mnaongozwa na Chuki,ila hamna nyimbo inayongoza kufanya vizuri kwa mwaka huu kama Tetema kwenye sportfy (huu mtandao unalipia kustream audio)
Tetema imesikilizwa zaidi ya mara milion 1,Trace katika chart za nyimbo bora za Africa imekaa namba 1 kwa mda wa wiki tatu.Hivi unazani Itunes itakuwa imeuza copy ngapi,Youtube huko je? Hujagusa Boomplay ? Hujaingia Shazam huko? Eti ngoma haijafanya vizuri .Rayvanny kaitwa kwenye tamasha la Essence Festival US (linajumuisha akina Mary J bridge,Timberland,Pharell nk) sababu ya Tetema,kaitwa kupiga show Ureno sababu ya hii nyimbo,usione WCB wajinga kuifanyia RMX.
Hivi unazani 1m streams sawa sawa na shiling ngapi za kibongo na wanalipa kwa dollar na hiyo record ndani ya miezi 2,je mpaka sasa itakuwa imesikilizwa mara ngapi?
images (8).jpeg

download.jpeg
 
Nyimbo kama kwangwaru nasema Ommy hawezi toa ngoma kali hata robo ya Kwangwaru[emoji23][emoji23][emoji23] mnataka nawaidha kasikilizeni Kaswida..mziki raha yake akili iinjeoy na mwili mpaka unatikisa kichwa
 
Huo wimbo ni mzur Sana, tatizo ubao unasoma sio wimbo wake....ukweli Tu ni kuwa Rayvanny sa hv anatoa nyimbo za hovyooooo saana.....zinapigiwa promo sana Ila kwenye soko hazitoboi.....na kama asingekuwa anamshirikisha Mond hzo nyimbo zingekuwa zishamtupa nje ya mashindano, anatakiwa aimbe ana saut nzuri Sana kuliko wote pale WCB, sasa akianza kuingiza radha za hip-hop ndo atapotea kama Mr blue
Ongeza sautiii[emoji350][emoji344]
 
Umetisha. Umetoa na ushahidi wa vibandiko
Tatizo lenu mnaongozwa na Chuki,ila hamna nyimbo inayongoza kufanya vizuri kwa mwaka huu kama Tetema kwenye sportfy (huu mtandao unalipia kustream audio)
Tetema imesikilizwa zaidi ya mara milion 1,Trace katika chart za nyimbo bora za Africa imekaa namba 1 kwa mda wa wiki tatu.Hivi unazani Itunes itakuwa imeuza copy ngapi,Youtube huko je? Hujagusa Boomplay ? Hujaingia Shazam huko? Eti ngoma haijafanya vizuri .Rayvanny kaitwa kwenye tamasha la Essence Festival US (linajumuisha akina Mary J bridge,Timberland,Pharell nk) sababu ya Tetema,kaitwa kupiga show Ureno sababu ya hii nyimbo,usione WCB wajinga kuifanyia RMX.
Hivi unazani 1m streams sawa sawa na shiling ngapi za kibongo na wanalipa kwa dollar na hiyo record ndani ya miezi 2,je mpaka sasa itakuwa imesikilizwa mara ngapi?
View attachment 1190598

View attachment 1190600
 
Humu jf kuna watu wako tayali kufa wakitetea wcb, hata wakitoa nyimbo mbovu vipi itatetewa humu na plus promo za wasafi mpk basi
Sasa diamond kuanzia Inama..One i love mpaka tetema jumlisha na Kwangwaru ipi mbovu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] WCB chama kubwa sana namuonea Huruma Harmonize maana atakufa kimziki kifo kibaya sana...afadhali Rich mavoko...
 
Mleta mada naona unachuki na ommy dimpoz coz ommy ni mwanamziki mzuri kuliko hao uliowasema.
nyimbo za omy zinaeleweka na si za hao unaowasema.
 
Tatizo lenu mnaongozwa na Chuki,ila hamna nyimbo inayongoza kufanya vizuri kwa mwaka huu kama Tetema kwenye sportfy (huu mtandao unalipia kustream audio)
Tetema imesikilizwa zaidi ya mara milion 1,Trace katika chart za nyimbo bora za Africa imekaa namba 1 kwa mda wa wiki tatu.Hivi unazani Itunes itakuwa imeuza copy ngapi,Youtube huko je? Hujagusa Boomplay ? Hujaingia Shazam huko? Eti ngoma haijafanya vizuri .Rayvanny kaitwa kwenye tamasha la Essence Festival US (linajumuisha akina Mary J bridge,Timberland,Pharell nk) sababu ya Tetema,kaitwa kupiga show Ureno sababu ya hii nyimbo,usione WCB wajinga kuifanyia RMX.
Hivi unazani 1m streams sawa sawa na shiling ngapi za kibongo na wanalipa kwa dollar na hiyo record ndani ya miezi 2,je mpaka sasa itakuwa imesikilizwa mara ngapi?
View attachment 1190598
View attachment 1190600
Tatzo ni je, mbn hyo ngoma haiko kwenye category za Afrimma? au huelew nikuulize kwa kizaramo?
 
Humu jf kuna watu wako tayali kufa wakitetea wcb, hata wakitoa nyimbo mbovu vipi itatetewa humu na plus promo za wasafi mpk basi
Wanasahau mondi nae alitolewa Tandale huko na Jasiri muongoza njia akamuongoza ..alipojiweza akijitoa akaanzisha wasafi... Leo Harmonize anafanya vivyohivyo wanaanza kampeni ya kumuunfollow ...halafu utakuta huyo shabiki mwenye hiyo michuki anamiliki chumba kimoja Cha kupanga akiamka tu MALI ZAKE ZOTE ANAZIONA.
 
Mleta mada naona unachuki na ommy dimpoz coz ommy ni mwanamziki mzuri kuliko hao uliowasema.
nyimbo za omy zinaeleweka na si za hao unaowasema.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Tetema huelewi nini???
 
Tatzo ni je, mbn hyo ngoma haiko kwenye category za Afrimma? au huelew nikuulize kwa kizaramo?
Nimemuuliza aliyesema Tetema ngoma mbovu,Slowly .Kuhusu ngoma kutokuwa kwenye tuzo sijui wametumia criteria gani ila tukisema tukusanye takwimu hamna nyimbo iliyotoka Africa mashariki mwaka huu ikafikia record ya Tetema katika digital platforms haipo,labda hii INAMA mpaka sasa nayo ktk chart za trace za nyimbo za Africa imekamata namba 1 mara tatu.

Kupata streaming mil 1 kwa sportfy ndani ya miezi 2 si swala dogo,Wizkid na ukubwa wake ule kwa mwaka huu mpaka hivi sasa nyimbo zake zote kiujumla zimekuwa stremed mara zaidi ya milioni 7,Rayvanny nyimbo moja ndani ya miezi miwili imekuwa streamed zaidi ya mara 1m.
 
Back
Top Bottom