Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

wasanii wa bongo kupata views wengi na streamed kama hizo ni kitu cha kawaida sana,na sababu kubwa hazijajulikana bado,kibongo bongo ni hivyo vtu ni kawaida sana so haviwez kuniaminisha kuwa ndo ngoma Kali iliyo Fanya poa kwa East Africa kwa mwaka huu, labda useme kibongo bongo.
 
kuna watu wanapima uzuri wa nyimbo kisa zinapigwa sana bodaboda.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukali wa nyimbo suala la uzuri ni mtu binafsi... Ila Nyimbo Kali haina mipaka na haijalishi nani anaisikiliza ila uzuri una matter nani anasikiliza..
 
Sportfy sio Youtube,youtube bando lako unastream bure,sportfy unalipia ndio unastream na kama hujui watanzania wenye access na sportfy ni wachache mno.
Diamond mwenyewe na ukubwa wake bado hajaifikia hii record sportfy.
 
Bila Jambo Squad Mamong'oo Kalangolo Silechi Manjeree izo tuzo ni Famba asee!!
 
Muongezee
 
Namwambia Harmonize kila siku...mjini hapa PESA TU..kipaji chako peleka kwa wazazi wako

Haya sasa kaanza uona utamu wa kuingiza nyimbo kwenye ma award ulivyo mgumu..Kule nyimbo inaingia kama una Connection na mtonyo utoe.

Ommy pesa IPO so muacheni ana haki ya kudumbukiza ngoma mbili na pia connection za OMMY harmonize na vanny boy watasubiri sana hawamkuti ommy...

Huu mziki wa sasa hivi msichoelewa ni kwamba Wanatawala wenye pesa tuu..kama hauna pesa bhas hakikisha unaimba hadi watu wakiskia sauti yako wanalia tuuu kama ilivyokua kwa michael Jackson...inatakiwa kama unasimama ktk kipaji chako hakikisha ile unafungua mdomo kuanza kuimba NYUMA TAYARI UMEKUSANYA KIJIJI hapo award utazipata.

Tofauti na hapo mziki wa sasa ni ubabe kwa sana..ma bavu kwa kwenda mbele Ukiiweza hiyo vita INGIA IMBA.
 
Sportfy sio Youtube,youtube bando lako unastream bure,sportfy unalipia ndio unastream na kama hujui watanzania wenye access na sportfy ni wachache mno.
Diamond mwenyewe na ukubwa wake bado hajaifikia hii record sportfy.
Una tumia vigezo gan kusema ni wabongo wachache wenye acces na sportfy!?,Kwa taarifa yako Watz ndo wana ongoza kusupport wasanii wao kwa ukanda huu wa E'Africa kwa sasa,sasa wanakosaje kuwa na acces na sportfy!?
 
Wasafi kiujumla hakuna wanacho kiimba kwa sasa kuanzia boss wao hadi machaliii wanaimba pumba tupu...
 
Una tumia vigezo gan kusema ni wabongo wachache wenye acces na sportfy!?,Kwa taarifa yako Watz ndo wana ongoza kusupport wasanii wao kwa ukanda huu wa E'Africa kwa sasa,sasa wanakosaje kuwa na acces na sportfy!?
Mnasupport youtube na si sportfy,kule unalipia unasikiliza.Mngekuwa mnasuport kazi kwa kulipia online leo hii mdundo,mkito na wasafi.com zisingekufa na wao walikuwa wanatoza kwa Tsh,sasa kulipia kwa dollar ndio mtaweza sportfy.
Kwenye Youtube huku wabongo mnaongoza sababu kitonga,ila Itunes,Sportfy,Tidal,Shazam wanaongoza ni Kenya ndio maana Kenya mziki unalipa kuliko bongo,bongo hapa tunasubiri kwa kideboy tukapakue bure na kusikiliza bure Youtube.
 
😀😀😀Sawa kaka,peace💙
 
Kwanza elewa maana ya Collabo na Featuring kwenye muziki halafu njoo na haya malalamiko yako.
 
Aiseee sikuyajua haya
 
Endelea kuotaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ommy show zake 10 ndo moja ya Harmo mamaee...!! Hakuna kitu palee hana tofauti na Mr Nice
 
So hujui kutofautisha kitu bora nikipi raynsvy sijui kaimba vizuri ila haijaleta picha nzuri wao wamebase kwenye mapenzi .
Huyu ameleta wimbo unaotach people naunaujumbe mzuri hata rock star ila za kinadai wao mapenzi tu wamechokwa kuna muda mtu achange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…