Tatizo lenu mnaongozwa na Chuki,ila hamna nyimbo inayongoza kufanya vizuri kwa mwaka huu kama Tetema kwenye sportfy (huu mtandao unalipia kustream audio)
Tetema imesikilizwa zaidi ya mara milion 1,Trace katika chart za nyimbo bora za Africa imekaa namba 1 kwa mda wa wiki tatu.Hivi unazani Itunes itakuwa imeuza copy ngapi,Youtube huko je? Hujagusa Boomplay ? Hujaingia Shazam huko? Eti ngoma haijafanya vizuri .Rayvanny kaitwa kwenye tamasha la Essence Festival US (linajumuisha akina Mary J bridge,Timberland,Pharell nk) sababu ya Tetema,kaitwa kupiga show Ureno sababu ya hii nyimbo,usione WCB wajinga kuifanyia RMX.
Hivi unazani 1m streams sawa sawa na shiling ngapi za kibongo na wanalipa kwa dollar na hiyo record ndani ya miezi 2,je mpaka sasa itakuwa imesikilizwa mara ngapi?
View attachment 1190598
View attachment 1190600