Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

nyongeza tu "kwako boy"
Kuna watu wanatoa pini kali sana, sema nyie kwakuwa wasafi pekee ndiyo mnadhani ni wanamziki pekee hapa bongo, ndiyo mkisikia Ommy kawazidi akina wcb mnaanza kulowa.

sahihi sana

mziki mzuri upo sana kila mahali nje ya WCB
 
Kama hii timua vumbi aseeh 😂😂😂
inavyoanza tuu kwanza.. takataka
 
Kwa wale wadau wa muziki.
Kwa hili Ommy amestahili kabisaa.
Sasa hiyo tetema mnadai imefanya vizuri. Je hao afrimma hawajui au? Wamefanya makusudi?? Jibu ni hapana wapo sahihi..

Unachokiamini wewe usitake na mwenzako aamini hivyo..

Namsubiri yule Afisa habari wa Diamond
Innocent nani sijui..!
 
Kama ishu ni maadili ya nyimbo bhasi Mrisho mpoto angefaa... Ommy anaimba mapenzi kama wengine tu mara sijui Wanjeraa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na takataka zinazofanana na hizo.. ommy wcb kidogo naweza muweka level sawa na Queen darlin kwa sasa...
 
sawa kabisa uko sahihi

sasa imagine queen darlin nyimbo zake zinaingia afrimma

acha mahaba
 
Nyimbo kama kwangwaru nasema Ommy hawezi toa ngoma kali hata robo ya Kwangwaru[emoji23][emoji23][emoji23] mnataka nawaidha kasikilizeni Kaswida..mziki raha yake akili iinjeoy na mwili mpaka unatikisa kichwa
Ahaa wap.

Wimbo wenyew Tu wa you're the best uko poa Sana kuzidi hao watu wenye popularity wasafi
 
You nailed it, ndo hapa watu wengi hawaelewi
 
Unajua vigezo walivyotumia? Unakumbuka East Africa Radio/TV walishawahi kuaandaa TUNZO vigezo ilikuwa Msanii ndio una_apply uwekwe categoty gani,Kwahiyo weka vigezo walivyotumia Afrimma kupata hao wasanii kisha ndio tuanze kunyamvua na kunyumbulisha.
 
Ukitaka maudhui kasikilize Tenzi au kaswida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089] Na zilipendwa kidogo
Kumbe huangalii maudhui...haya endelea kulialia na kusikiliza hizo tetema za wasanii wako huko kwenye vigodoro uswahilini ndanindani
 
Unajua vigezo walivyotumia? Unakumbuka East Africa Radio/TV walishawahi kuaandaa TUNZO vigezo ilikuwa Msanii ndio una_apply uwekwe categoty gani,Kwahiyo weka vigezo walivyotumia Afrimma kupata hao wasanii kisha ndio tuanze kunyamvua na kunyumbulisha.
Unataka kusema na Afrimma walitumia mfumo kama ule wa EA Radio/TV?,kama ni hivo Diamond alishindwa nin kuwafanyiwa wasanii wake hvo ikiwa yeye kaingia category sita?
 
Kumbe huangalii maudhui...haya endelea kulialia na kusikiliza hizo tetema za wasanii wako huko kwenye vigodoro uswahilini ndanindani
Diamond International level yulee... Tetema mpaka Marekani imetikisikaa...kila sehemu tetema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] sasa wewe baki na Wanjeraaa ..
 
Hivi unaanzaje kufananisha You are the Best ya Dimpoz na Kainama ya Harmonize?

Na unaanzaje kufananisha Rockstar ya Dimpoz na Tetema ya Rayvanny?

Ngoma za Dimpoz zimeenda shule ukilinganisha na hizo zingine zilizopaishwa kwa mihemko.
Kumbe nilikuwa nabishana na mtu wa dizaini hii lol!
 
Ongeza sautiiii aseee.... Eti Kanyaga ukimuuliza Kuna ujumbe gani hatokujibu, Inama sijui pochi Nene .... Hiyo ni miziki ya kubanjuka tu huwezi kuisikiliza dunia ingine...
Hivi muziki gani wa Ommy dimpoz unaweza kusikilizwa dunia ingine?
.
Unajua kweli hata muziki unapendewa nini kwa mtu asiyejua lugha iliyotumika
 
Diamond International level yulee... Tetema mpaka Marekani imetikisikaa...kila sehemu tetema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119] sasa wewe baki na Wanjeraaa ..
Marekani na kwenyewe kuna vigodoro??labda marekani ya buza ndanindani huko mkuu ndo itakuwa imetikisa
 
rayvan ni msanii au msindikizaji?
 
Hivi unaanzaje kufananisha You are the Best ya Dimpoz na Kainama ya Harmonize?

Na unaanzaje kufananisha Rockstar ya Dimpoz na Tetema ya Rayvanny?

Ngoma za Dimpoz zimeenda shule ukilinganisha na hizo zingine zilizopaishwa kwa mihemko.
bange your best haiwezi kulinganishwa na never give up
 
Ngoma gani mpaka uwe fan wake ndo uzijue????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23] Ngoma kali hata kama hufatilii mziki unazipata na kuzisikia... achana na huyo sijui anaimba utumbo gani
keeping Good music alive kusubiri nyimbo ikufuate ni umama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…