Inakuwaje Ommy Dimpoz anaingia kwenye Category nyingi za Afrimma kuliko Harmonize na Rayvany?

Nimeuliza swali muziki ni mashairi au melody? Hizo pumba zako kawashie mkaa
ukweli ni kwamba hilo swali lako halina jibu sababu mziki haubebwi na hivyo vitu ulivyotaja
hivyo vipengele ndani ya music. na sio kuwa ndo vinabeba maana ya music. kajifunze bro sio unaropoka.
 
Lini wcb walitoa nyimbo yenye maudhui mazuri tofauti na mitusi wanayoimba?
 
Kiukweli. Muziki labda niukute unapigwa sehemu au harusini ndo niulize dj huu wimbo wa nani? lakin sio mshabiki kiviile.
Sasa sherehe zinapigwa Nyimbo za wasafi tu...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mi namsubiriaga dj Mwanga atupiemo nijipakulie[emoji3][emoji3]
 
Kimsingi ule wimbo ni wake amempa tu yule ndezi wa kikenya, amepita mulemule alimopita kwenye wimbo wake wa 'SIKUPENDI' so ni kama remix tu ile
 
ukweli ni kwamba hilo swali lako halina jibu sababu mziki haubebwi na hivyo vitu ulivyotaja
hivyo vipengele ndani ya music. na sio kuwa ndo vinabeba maana ya music. kajifunze bro sio unaropoka.
Una kichwa cha tenzi ila unaandika ukush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…