Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 May 27, 2022 #61 Dabil said: Walikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili. Click to expand... Aden Rage hakukosea kabisa alivyowaita mambumbumbu
Dabil said: Walikuwa wote wanne Saido ,Abundo, Mayele na Bangala. Walikesha bar moja inaitwa "Level " na kurudi asubuhi cha kushangaza wameadhibiwa wawili. Click to expand... Aden Rage hakukosea kabisa alivyowaita mambumbumbu
S samakinchanga JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 2,024 Reaction score 1,233 May 28, 2022 #62 Mgagaa na Upwa said: Kwahiyo dua lako mayele nae asiwemo kwenye kikosi dhidi ya makolowizard? Click to expand... Makolokwinyo
Mgagaa na Upwa said: Kwahiyo dua lako mayele nae asiwemo kwenye kikosi dhidi ya makolowizard? Click to expand... Makolokwinyo
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 2,929 Reaction score 3,710 May 28, 2022 #63 Dabil said: hiyo ni Mwanza. Click to expand... basi umepuyanga mzee....wachezaji wametorokea kambi wakiwa shinyanga sio mwanza. Kajipange tena mkuu.
Dabil said: hiyo ni Mwanza. Click to expand... basi umepuyanga mzee....wachezaji wametorokea kambi wakiwa shinyanga sio mwanza. Kajipange tena mkuu.
MLUGURU JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 2,929 Reaction score 3,710 May 28, 2022 #64 Toedsloth_ said: Saido anajitambua yule aligoma kulala Idukilo kwa Mganga wa kienyeji Click to expand... Saido sawa...na ambundo je?? Sura yake yenyewe tu inaonyesha anatokea familia ya waganga wa kienyeji. Nyie mikia msitichoshe hapa embu subilini kipigo mapemaaaa mkaangalie uefa huku mmenuna.
Toedsloth_ said: Saido anajitambua yule aligoma kulala Idukilo kwa Mganga wa kienyeji Click to expand... Saido sawa...na ambundo je?? Sura yake yenyewe tu inaonyesha anatokea familia ya waganga wa kienyeji. Nyie mikia msitichoshe hapa embu subilini kipigo mapemaaaa mkaangalie uefa huku mmenuna.